ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zazindua mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga wa Arrow-4

    Habari! Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Simba wamepewa ulinzi

    Tunashukuru serikali kupokea Ombi letu la Wana wa Msimbazi kupewa ulinzi. Sasa mashabiki wote wa Simba jiandaeni kwa ulinzi
  4. JamiiForums Tanzania Hawa mbwa hawana urafiki na mtu wasiyemfahamu. Ulinzi Shirikishi niliwakatalia baada ya kuwa naibiwa home then wanataka niwachangie mwisho wa mwezi

    Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel. Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu. Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ondoeni Majeshi yenu huko Somalia kisha imarisheni ulinzi mkali na ndani

    Hili ni bandiko la WITO Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa ulinzi na usalama mkoa wa Mbeya unatia mashaka; Matukio makubwa yaliyotokea Mbeya yanaashilia askari hawasimamiwi vema

    Leo naomba tuimulike mbeya. Mkoa wa Chalamila na watu wake. Inakuwaje matukio makubwa yenye misingi ya haki yanatukia mbeya? Mtakumbuka Kuna skendo ya muwekezaji wa mifugo hivi majuzi kajinyonga kutokana na mifugo yake zaidi 50 kukamatwa! Ukitafakari kwa haraka haraka unaweza ona ni tukio la...
  7. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

    WASHINGTON – The Senate on Friday confirmed Lloyd Austin as the nation's first Black defense secretary, the second nominee of President Joe Biden to be confirmed by the chamber. Austin is a retired four-star Army general who will be the first Black secretary of defense. He was the first Black...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

    Baada ya kina Francis Mhando wa Efm kumfanyia dhihaka Barbra na kumuita pisi kali chombo ya fundi wakihusisha maneno ya mtandaoni kuhusu mkude kusimamishwa kwamba alimtongoza nilianzisha uzi hapa na kulaumu sana wako walionisapoti wako waliodhihaki kama kawaida maana kwa Ta nzania mwanamke ni...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi

    Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi ?
  12. JamiiForums Tanzania Ndiyo uhuru wa Habari/Kujelezea ni muhimu; Lakini mipaka ni Lazima iwekwe kwa ulinzi wa taifa. Kwanini? Zingatia kisa cha Ukraine

    Mnamo 2013, Wa-Ukraine walikusanyika katika mitaa ya Kyiv kuelezea wasiwasi wao juu ya njia mpya ya nchi yao. Harakati za “Euro-maidan” kama zilivyojulikana, zilipinga msimamo mpya wa Ukraine unaounga mkono Urusi. Rais wa Ukraine, Yanukovych, alisitisha ghafla kutia saini kwa makubaliano ambayo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

    Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni. Kutoka: Habari Star TV Tanzania
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

    Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu. Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
  15. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni amteua mwanaye kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha Jeshi kinachomlinda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume Lt Gen Muhoozi Kainerugaba kuwa kamanda wa kikosi maalum cha jeshi SFC. Muhoozi, mwenye umri wa miaka 46, pia ni mshauri maalum war ais, nafasi ambayo aliteuliwa mwaka 2017. Uteuzi huo unafuatia mabadiliko ambayo rais Museveni amefanya...
  16. JamiiForums Tanzania Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

    Ni vyema tusisubiri maafa, tutoe angalizo mapema. Maziko ni kesho Ndugu zetu marafiki zetu wa Kawe Polisi, tunatoka msibani kunasikitisha ukiacha majonzi yanayoendelea. Naamini mmeshapajua hapo msibani karibu na geti dogo la Lugalo. Bajaji kumi kidogo zimeshusha wahuni wanavuta bangi msibani...
  17. JamiiForums Tanzania Makampuni ya ulinzi

    Wadau mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu BAED mwaka 2016 nimejaribu kutafuta kazi kwa udi na uvumba lakini mambo bado ya moto. Nimepost uzi huu ili muweze kunisaidia kujua baadhi ya mambo muhimu kuhusu haya makampuni ya ulinzi na namna wanavyowapata wafanyakazi na mishahara na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kweli ICC inatisha. Hadi Sirro kasema watampa Lissu ulinzi

    Amani iwe nanyi wadau. Sasa nimeanza kuamini kuwa kumbe suala la ICC ni tishio kubwa kwa serikali ya awamu ya Tano, pamoja na kebehi za Wanalubumba humu. Sasa nimeamini kuwa viongozi wa serikali ya awamu ya Tano wanaiogopa kweli ICC na sasa wameanza kutapatapa. Kwanini nasema hivi? Kabla ya...
  20. JamiiForums Tanzania Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

    Vyanzo vyangu vimenipa habari mbichi Senzo Masingiza yupo chini ya ulinzi katika moja kati ya vituo Dar es Salaam akihojiwa kuihujumu Simba Sc.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…