ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli ni kwamba Gerson Msigwa ameshushwa Cheo

    Kuna Wakati mambo ya Nchi hii yanashangaza sana ! Pamoja na kwamba sifahamu vigezo vya Mtu kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali , Lakini natambua kwamba kuwa Msemaji wa serikali ni dhamana kubwa mno , na kwa kadiri ninavyomfahamu Msigwa hakustahili kuwa Msemaji wa Serikali yetu ya Tanzania ...
  2. Kasumba ya kuna uchungu wa mzazi kwa mtoto aliyemzaa haina ukweli

    KASUMBA YA KUNA UCHUNGU WA MZAZI KWA MTOTO ALIYEMZAA HAINA UKWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza ikawa Tata. Pengine ikazua mfuragano wa kutoleana hoja. Ni vizuri kila mmoja atoe hoja zake Kwa utulivu kutetea upande wake. Kuna dhana au tuseme Kasumba iliyoenea Duniani...
  3. Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

    Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
  4. Jay Dee wacha nikwambie ukweli dada angu. Wimbo wako mpya " mambo matano" sio mzuri

    Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo. Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya. Ni hayo tu dadake
  5. Ni kwa kiasi gani tunaweza kupima ukweli wa historia inayofundishwa mashuleni?

    Wasalamu ndugu wana JF wote. Historia ni somo muhimu na lenye tija sana kwa kuzingatia ukweli kwamba historia inatunza kumbukumbu muhimu kwa taifa, Kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka vyuo vikuu somo hili limekuwa linawajengea wanafunzi , walimu na wanahistoria kwa ujumla uwezo wa kutoa hoja...
  6. Ukweli ni kwamba, mkuu wa wilaya ya Kinondoni hafiti kabisa kuongoza wilaya yetu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakubwa leo sina mengi ya kuelezea, ila ukweli ni kwamba mkuu wa wilaya yetu ya Kinondoni aliepo ofisini sasa hafai hata robo kuongoza wilaya yetu. Kila mtu anafahamu kwamba wilaya ya Kinondoni ndio wilaya inayoongoza kuwa na wasomi wengi nchini, ndio wilaya...
  7. Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  8. K

    Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  9. Ujue mzimu wa Kempanju wa ukoo wa Abashambo wa Kiziba, Misenyi

    Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya Buyango, kijiji Lwamachu kitongoji Nyakihanga ambapo ndiko haswa nyumbani kwa ayo majina mawili ambayo...
  10. Ukweli usemwe: Kiukweli Yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaani inatisha

    Ukweli usemwe tu kama hamtaki niueni mwili wangu mkautupe bandarini usepe na waarabu. Kiukweli yanga ya sasa hivi ni kali kila idara yaan inatisha. Mimi kama kitayose naomba tiefefu isinipange kucheza na yanga πŸ™ Kwa upande wa Simba aaaaah "hata haturingi" na hawarigi kweli na kikosi kibovu...
  11. Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  12. Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  13. Tuwaambieni ukweli viongozi wetu!

    Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari! Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao hawakuwa na fursa ya kujua mambo mengi enzi hizo wanaishi vijijini, basi wanadhani hata sasa hali ni...
  14. Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

    Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake. Vitu hivi huwezi kuvipata Marekani. Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa...
  15. Simba iombeni radhi Ngome FC

    π™π™Šπ™†π™€π™‰π™„ π™ƒπ˜Όπ˜Ώπ™ƒπ˜Όπ™π˜Όπ™‰π™„ π™ˆπ˜Όπ™†π™Šπ™‡π™Š Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  16. Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
  17. L

    Kuinuka kwa uhusiano kati ya China Benin kwaonesha dhana ya ukweli, uhalisi, urafiki na udhati ya China kwa Afrika

    Rais wa China Xi Jinping hivi karibuni alifanya mazungumzo na Rais wa Benin Patrice Talon, ambaye alikuwa ziarani nchini China, na kutangaza kuanzishwa kwa ushirikiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili. Kuinuka kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili kutasukuma mbele zaidi ushirikiano...
  18. SI KWELI Tinashe Jonas atangaza mpango wa kufanya mapinduzi nchini Zimbabwe

    Video ya Kushtua ya Wanajeshi imetolewa ikimuonesha Jonas, wa Kamandi Kuu ya Ideal Zimbabwe, anapinga moja kwa moja serikali ya Zimbabwe na Kuomba msaada wa silaha zaidi katika video yake. Jonas Alitangaza Mrengo wake mpya wa Kijeshi mwezi uliopita na watu wengi hawakumchukulia kwa uzito...
  19. B

    Dkt. Tulia Ackson awataka Mawaziri waliopumzishwa kwenye nafasi zao waondoe wasiwasi

    Ikiwa wakiteuliwa wanaachwa wapumzike tu then wanarudishwa tena. Wakichoka wanapumzishwa uchovu ikiisha wanarudishwa tena. Je, sisi Chawa wa Mama ma Chawa wa Chama ni lini tutaingiamo? Au nafasi hizi ni za kwao tu? Sitasema mengi oneni mwenyewe. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson...
  20. B

    Ukweli ni mchungu na asiyeubali ni mtumwa wa fikira. Wanawake na Wanaume hili mnalijua?

    Kwanza kabisa niwape pole wale wanaopitia changamoto za mahusiano. Poleni sana Ila wakati mwingine poleni kwa kujitakia. Tatizo watu wengi hutengeza tatizo na baadaye mnakimbilia JF kuomba huruma. Leo tuambizane ukweli ulio mchungu, wanawake 90% hawateswi na waume zao bali wanatengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…