Ukweli usemwe: Ni Mwenge wa Uhuru au wa Utumwa?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
5,975
8,237
Mwenge wa uhuru? Kivipi?

Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa?

Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge?

Watumishi wa umma wanalazimishwa kuhudhuria! Mikoa mingine, wakuu wa idara huitisha majina ya watu walio chini yao kubaini kama kuna mfanyakazi aliyetoroka mkesha wa mwenge! Uhuru wenyewe ndiyo huo?

Uovu unaofanyika wakati wa mkesha wa mwenge unafahamika? Huo ndiyo uhuru wenyewe? Uhuru ulioletwa na mwenge ni wa kulewa, ngono na kuteketeza mabilioni ya pesa kwa mambo yasiyokuwa na tija? Huo ni uhuru au utwesaji wa utu?

Mwenge ulivumbuliwa na mchawi gwiji, Forojo Ganze, kufuatia "ufunuo" alioupata baada ya kwenda kufanya mazungumzo na Shetani kuhusiana na masuala ya utawala wa Tanganyika. Kwa maneno mengine, ni Shetani ndiye aliyeagiza mwenge ukimbizwe Tanganyika.

Kama hayo masimulizi yana ukweli ndani yake, unatarajia mwenge uwe na mema kwa nchi yetu?

• Kwa nini watawala wasieleze ukweli halisi wa chimbuko la mwenge?

• Kuna siri nyuma ya mbio za mwenge ambayo ni watawala tu ndiyo wanaoijua na hawaruhusiwi kuwajulisha wananchi?

• Watawala wanaotaka viongozi wa dini waiombee nchi na huku wanajua kuwa inatawaliwa kwa maagizo ya kuzimu wanaitakia mema nchi yetu? Huko si kuitaabisha nchi?

• Ikiwa mwenge ulivumbuliwa Tanganyika ikiwa imeshapata uhuru, ni uhuru gani huo Forojo Ganze aliouzungumzia kuhusiana na nchi yetu baada ya kikao chake na Shetani?

• Kuna mtu anayeweza kuwaaminisha Watanzania kuwa hicho kinachoitwa mwenge wa uhuru umeleta uhuru wa kweli na siyo utumwa?
 
Nakuhakikishia kitu, mtashindwa na mtalegea sana.

Uhuru wetu is here to stay, hakuna mtu, watu ambao watakuja tena kuuparaganya.

Na mwenge wetu utaendelea kuwepo. I guarantee that.

Angalia humo kichwani mwako, upo uwezekano mkubwa tu kuwa, kumejaa fikra za Kitumwa.

.....Na Ufinyu wa Mawazo
 
Kwa hiyo maelezo yako yote hayo unadhani yanaweza kufanya mwenge usikimbizwe kweli.
Au unajifurahisha tu.
Mwenge ni dude kubwa sana zaidi ya unavyofikiria
Inasemekana ni uchawi wa kuwapumbaza Watanzania wasiwasumbue watawala. Labda kuna jingine zaidi ya hilo?
 
Mwenge wa uhuru? Kivipi?

Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa?

Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge?

Watumishi wa umma wanalazimishwa kuhudhuria! Mikoa mingine, wakuu wa idara huitisha majina ya watu walio chini yao kubaini kama kuna mfanyakazi aliyetoroka mkesha wa mwenge! Uhuru wenyewe ndiyo huo?

Uovu unaofanyika wakati wa mkesha wa mwenge unafahamika? Huo ndiyo uhuru wenyewe? Uhuru ulioletwa na mwenge ni wa kulewa, ngono na kuteketeza mabilioni ya pesa kwa mambo yasiyokuwa na tija? Huo ni uhuru au utwesaji wa utu?

Mwenge ulivumbuliwa na mchawi gwiji, Forojo Ganze, kufuatia "ufunuo" alioupata baada ya kwenda kufanya mazungumzo na Shetani kuhusiana na masuala ya utawala wa Tanganyika. Kwa maneno mengine, ni Shetani ndiye aliyeagiza mwenge ukimbizwe Tanganyika.

Kama hayo masimulizi yana ukweli ndani yake, unatarajia mwenge uwe na mema kwa nchi yetu?

• Kwa nini watawala wasieleze ukweli halisi wa chimbuko la mwenge?

• Kuna siri nyuma ya mbio za mwenge ambayo ni watawala tu ndiyo wanaoijua na hawaruhusiwi kuwajulisha wananchi?

• Watawala wanaotaka viongozi wa dini waiombee nchi na huku wanajua kuwa inatawaliwa kwa maagizo ya kuzimu wanaitakia mema nchi yetu? Huko si kuitaabisha nchi?

• Ikiwa mwenge ulivumbuliwa Tanganyika ikiwa imeshapata uhuru, ni uhuru gani huo Forojo Ganze aliouzungumzia kuhusiana na nchi yetu baada ya kikao chake na Shetani?

• Kuna mtu anayeweza kuwaaminisha Watanzania kuwa hicho kinachoitwa mwenge wa uhuru umeleta uhuru wa kweli na siyo utumwa?
shukrani kwa mtazamo wako juu ya mwenge 🐒
 
Nakuhakikishia kitu, mtashindwa na mtalegea sana.

Uhuru wetu is here to stay, hakuna mtu, watu ambao watakuja tena kuuparaganya.

Na mwenge wetu utaendelea kuwepo. I guarantee that.

Angalia humo kichwani mwako, upo uwezekano mkubwa tu kuwa, kumejaa fikra za Kitumwa.

.....Na Ufinyu wa Mawazo
Jibu hoja fanya hivi wewe mtajie faida

Muelimishe ambapo unaona Hana Elimu ya mwenge..

Tafdhari jibu hoja sio kumshmbulia mtu
Inawezekana ukimulimisha wewe Leo ataelewa kma wewe ulivyo Elewa.

Mjibu faida za kuzungusha mwenge wa uhuru Tanzania nzima!

Mpe faida usitukane na kumdhihaki!
 
wa kuwapumbaza mzidi kuwa wanafki na waoga wa kudai haki zenu!
Kama huwa unanunua

Kifungua kinywa, uwe unaomba wakuongezee na akili.

Ati wewe ndie uje kutufundisha kupata haki zetu. Duh.

Haya mapandikizi yatafutwe na yaangamizwe.
 
Jibu hoja fanya hivi wewe mtajie faida

Muelimishe ambapo unaona Hana Elimu ya mwenge..

Tafdhari jibu hoja sio kumshmbulia mtu
Inawezekana ukimulimisha wewe Leo ataelewa kma wewe ulivyo Elewa.

Mjibu faida za kuzungusha mwenge wa uhuru Tanzania nzima!

Mpe faida usitukane na kumdhihaki!
Mkuu wewe pambana hivyo unavyojua. Mjibu hiyo hoja uliyoiona, muelimishe unavyotaka.

Nimefundishwa, mtu akitukana, mtukane, akikupiga kibao, mpige mara mbili.

Amedhihaki na kuwatukana Watanzania. Simwachi.......huyo.... wahed
 
Mwenge wa uhuru? Kivipi?

Umeleta unafuu gani katika nchi hii zaidi ya hasara ya mabilioni ya pesa?

Umeleta uhuru au utumwa? Unajua jinsi watumishi wa umma wanavyolazimishwa kuchangia fedha za kuunywesha mafuta na kushinikizwa kuhudhuria mkesha wa mwenge?

Watumishi wa umma wanalazimishwa kuhudhuria! Mikoa mingine, wakuu wa idara huitisha majina ya watu walio chini yao kubaini kama kuna mfanyakazi aliyetoroka mkesha wa mwenge! Uhuru wenyewe ndiyo huo?

Uovu unaofanyika wakati wa mkesha wa mwenge unafahamika? Huo ndiyo uhuru wenyewe? Uhuru ulioletwa na mwenge ni wa kulewa, ngono na kuteketeza mabilioni ya pesa kwa mambo yasiyokuwa na tija? Huo ni uhuru au utwesaji wa utu?

Mwenge ulivumbuliwa na mchawi gwiji, Forojo Ganze, kufuatia "ufunuo" alioupata baada ya kwenda kufanya mazungumzo na Shetani kuhusiana na masuala ya utawala wa Tanganyika. Kwa maneno mengine, ni Shetani ndiye aliyeagiza mwenge ukimbizwe Tanganyika.

Kama hayo masimulizi yana ukweli ndani yake, unatarajia mwenge uwe na mema kwa nchi yetu?

• Kwa nini watawala wasieleze ukweli halisi wa chimbuko la mwenge?

• Kuna siri nyuma ya mbio za mwenge ambayo ni watawala tu ndiyo wanaoijua na hawaruhusiwi kuwajulisha wananchi?

• Watawala wanaotaka viongozi wa dini waiombee nchi na huku wanajua kuwa inatawaliwa kwa maagizo ya kuzimu wanaitakia mema nchi yetu? Huko si kuitaabisha nchi?

• Ikiwa mwenge ulivumbuliwa Tanganyika ikiwa imeshapata uhuru, ni uhuru gani huo Forojo Ganze aliouzungumzia kuhusiana na nchi yetu baada ya kikao chake na Shetani?

• Kuna mtu anayeweza kuwaaminisha Watanzania kuwa hicho kinachoitwa mwenge wa uhuru umeleta uhuru wa kweli na siyo utumwa?
Edit title yako kidogo mkuu isomeke "Ukweli Usemwe,ni Mwenge wa Uhuru au Uchawi?
 
Nakuhakikishia kitu, mtashindwa na mtalegea sana.

Uhuru wetu is here to stay, hakuna mtu, watu ambao watakuja tena kuuparaganya.

Na mwenge wetu utaendelea kuwepo. I guarantee that.

Angalia humo kichwani mwako, upo uwezekano mkubwa tu kuwa, kumejaa fikra za Kitumwa.

.....Na Ufinyu wa Mawazo
Uhuru upi huo mkuu? Wa mwenge?

Amini nakuambia ipo siku huo mwenge utafungiwa stoo na kubaki Historia tu.

Watanzania hawataendelea kuwa wajinga siku zote.
 
Nakuhakikishia kitu, mtashindwa na mtalegea sana.

Uhuru wetu is here to stay, hakuna mtu, watu ambao watakuja tena kuuparaganya.

Na mwenge wetu utaendelea kuwepo. I guarantee that.

Angalia humo kichwani mwako, upo uwezekano mkubwa tu kuwa, kumejaa fikra za Kitumwa.

.....Na Ufinyu wa Mawazo
Mwenge wa ujinga
 
Jibu hoja fanya hivi wewe mtajie faida

Muelimishe ambapo unaona Hana Elimu ya mwenge..

Tafdhari jibu hoja sio kumshmbulia mtu
Inawezekana ukimulimisha wewe Leo ataelewa kma wewe ulivyo Elewa.

Mjibu faida za kuzungusha mwenge wa uhuru Tanzania nzima!

Mpe faida usitukane na kumdhihaki!
🙏🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom