Uchaguzi 2020 Ya Sonjo na mie kumpigia kura Membe hata kama nitakuwa peke yangu

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Majibu yalimtoka Mkulu kujibu hoja ya MNEC kutoka kama Kanda za Nyanda za Juu ilikuwa inamgeukia Mkulu mwenyewe. Kwamba mtu yeyote ana nafasi ya kujiunga Chama chochote cha sisasa na ndiyo maana wale wapinzani walikuwa na haki ya kujiunga na CCM. Mkulu hapo naona hakuwa anajibu hoja - hoja ilikuwa ni kwa nini wale wanapewa nafasi na wakati wafia Chama wanakuwepo na wakiwa na haki ya kugombea pia lakini Chama hakikuwapa nafasi? ametuacha baadhi ya WanaCCM macho kodo! Na leo Ndugai na Pinda ndiyo wametia fora kwa kudanganya - eti kapata asilimia 100. Wapi bhana! Uwongo mtupu!

Kiukweli kabisa kama raia yeyote ana haki ya kujiunga na CCM why isingetosha tu kumwacha Membe ndani ya CCM na kisha kumbinya tu kwa mikakati ya kidemokrasia katika nafasi za kiuongozi na kumfanya asiweze kushindana naye kwenye kinyanganyiro. Ni woga tu. Kama sio woga Why kumfukuza? Hilo tuliache? Kwa sababu ninaamni alifukuzwa na Mkulu mwenyewe wala sio vinginevyo!

Turudi kwa Membe kupigiwa kura na mimi. Hata iwe kura yangu peke yangu nitampigia Membe katika Uchaguzi ujao. Mbunge na Diwani itategemea! WanaJF wenzangu wakati wa Uchaguzi angalieni kura atakayopata Membe huku Idukilo - ikiwa ni kura moja basi mjue ni ya kwangu mimi. Kwa nini nitampigia kura Membe wala sio siri nina sababu zangu naziweka hapa chini.

Kwanza Membe sio mtu wa hatari. Membe ni mtu mzuri sana na mjasiri. Ujasiri aliouonesha Membe kwa hakika hauna hila na wala sio kiburi. Membe sio mkiburi bali ni mjasiri. Kama hujamsikiliza Membe hebu jaribu kumsikiliza kwa makini. Hata ukimsikiliza mahajiano yake na Jenerali Ulimwengu utagundua kuwa Membe ni mzuri sana. Kwa ukweli JPM nilimpenda sana ile 2015 na niliamini alikuwa mtu sahihi lakini kwa namna ambavyo ameedndesha mambo yake ni kubinya demokrasi na yeye kuthamini zaidi maendeleo ya vitu badala ya watu sina tena mahaba naye. JPM ameonea sana raia na kuwanyanyasa sana WaTanzania. Yeye na Timu yake wanaila nchi kisawasawa. Kaangelie malipo yanayofanyika kwa kila kazi ifanayikayo Wizara ya Dedha - hata kama yupo safari Katibu Mkuu unakuta ana malipo yake pembeni hata kwenye orodha ambayo haimhusu. Hovyo kabisa!

Kwa kukataa kwa Membe kuminywa kwa demokrasia nchini na kuiona nchi inaendeshwa kidikteta ni dhahiri kuwa Membe ni msaada mkubwa sana kwa wanyonge kama sisi. Wale wanaoitwa wanyonge Membe ndiyo anawafahamu na wala sio Magu. Juzi ndugu yangu aambaye ni Mtendaji wa Kata alimweleza mama yake kuwa anataka kuchukua kura ya kugombea ubunge akaambiwa na mama yake aache tu mpaka kipindi cha JPM kipite kwa sababu JPM na mbunge wa sasa wanaweza kumfanyia mambo mabaya. Ukiangalia kwa undani hapo ni watu wanajifanya wanamkubali JPM na baadhi ya wabunge wake lkn kumbe wana woga mioyoni mwao. Wanaogopa utawala wa kibabe!

Kwa kweli kwa vitendo vibaya JPM anavyovifanya dhidi ya wapinzani wake imetokea tu na mimi sasa simpendi tena. Yaani simpendi tu!
 
Kampende mkeo, hata kwako mtoto akiwa mkorofi kwa wazazi mnatoa nyumbani ili akaishi maisha ya ukubwa kuko pembeni hata kama hajafikia umli wa kujitegemea

Membe ni kijana mkorofi kwa hiyo kaachwa huko nje ili apambane kivyake, sasa ubaya upo wapi?
Kwani uraisi mpaka upitie CCM? Kama mungu kampa nafasi hata huko aliko atashinda tu.
 
Kampende mkeo, hata kwako mtoto akiwa mkorofi kwa wazazi mnatoa nyumbani ili akaishi maisha ya ukubwa kuko pembeni hata kama hajafikia umli wa kujitegemea,
Membe ni kijana mkorofi kwa hiyo kaachwa huko nje ili apambane kivyake, sasa ubaya upo wapi?
Kwani uraisi mpaka upitie CCM? Kama mungu kampa nafasi hata huko aliko atashinda tu.
Kwani mie nimesema nitampigia kura akiwa CCM, nitampigia kura huko atakapokuwa. Kama hatakuwa kwenye Chama na hatagombea ile kura ya Urais nitaandika jina lake. Kwani kinakuuma nini sasa wewe? Eboooo!
 
Wengi bado hawajitambui afadhali wewe umeona ukweli kuwa jiwe ni propaganda zaidi hakuna kitu cha maana.
 
iko ivi, wewe usipompenda kuna watu wanampenda, it doesnt change anything! maana ya demokrasia ni wengi wape, sasa sjaelewa kwann watu wengi wa cdm mnajazana sana na mada za jiwe uku forum, wacha kura ziongee! na kuhusu membe hio haituhusu maaana alikua ccm na najua kabisa cdm lengo lao ni kuondoa ccm madarakani, na waliomchukua ni cdm!!

sasa wewe anza kumsafisha upendavyo mpaka utachoka mwenyewe lakini hii kwa haraka haraka inadhihirisha kwamba cdm nzima wamekosa mtu wa kuchukua hio nafasi ila wanaweza ccm tu, kiukwel bila uongo cdm ni kichefu chefu na huenda ACT pamoja na NCCR wakatoa KUB
 
Inaonekana wewe ni Mwanamke fulani maneno maneno mingi sana halafu inawezekana una mgogoro wa kindoa! Manake uko povu sana!
 
Kwani mie nimesema nitampigia kura akiwa CCM, nitampigia kura huko atakapokuwa. Kama hatakuwa kwenye Chama na hatagombea ile kura ya Urais nitaandika jina lake. Kwani kinakuuma nini sasa wewe? Eboooo!
Wewe ni CCM na mfia chama - hapa unatafuta watu watareact namna gani kwa uzi wako. Unajua kuwa Membe hafai!
Unajua Huyo ameehuka urais! Yaani baada ya kuokota makopo yeye ukichaa wake ni kuwa Rais. Na hafikirii kama atashindwa! Pale atakapo shindwa, ndipo ataanza kuokota makopo!
 
Nafikiri Membe anajua sio lazima ashinde ila anatusaidia kuonesha kunapasw kuwa na demokrasia. Akipata hata kura elfu moja nafikir Rais wa sasa atatakiwa ajue kuwa kumbe kuna watu hawapo naye kwa baadhi ya vitendo vyake. Mf. nina uhakika ndugu zake Ben Saa Nane na Mwandishi Azory hamna ambaye anaweza kumpa kura Magu
 
Kampende mkeo, hata kwako mtoto akiwa mkorofi kwa wazazi mnatoa nyumbani ili akaishi maisha ya ukubwa kuko pembeni hata kama hajafikia umli wa kujitegemea

Membe ni kijana mkorofi kwa hiyo kaachwa huko nje ili apambane kivyake, sasa ubaya upo wapi?
Kwani uraisi mpaka upitie CCM? Kama mungu kampa nafasi hata huko aliko atashinda tu.
Ila ulivyoanza na hiyo sentensi ni kama vile hampendi wife. Umekosea bro! Unajuaje hampendi wife wake?
 
Majibu yalimtoka Mkulu kujibu hoja ya MNEC kutoka kama Kanda za Nyanda za Juu ilikuwa inamgeukia Mkulu mwenyewe. Kwamba mtu yeyote ana nafasi ya kujiunga Chama chochote cha sisasa na ndiyo maana wale wapinzani walikuwa na haki ya kujiunga na CCM. Mkulu hapo naona hakuwa anajibu hoja - hoja ilikuwa ni kwa nini wale wanapewa nafasi na wakati wafia Chama wanakuwepo na wakiwa na haki ya kugombea pia lakini Chama hakikuwapa nafasi? ametuacha baadhi ya WanaCCM macho kodo! Na leo Ndugai na Pinda ndiyo wametia fora kwa kudanganya - eti kapata asilimia 100. Wapi bhana! Uwongo mtupu!

Kiukweli kabisa kama raia yeyote ana haki ya kujiunga na CCM why isingetosha tu kumwacha Membe ndani ya CCM na kisha kumbinya tu kwa mikakati ya kidemokrasia katika nafasi za kiuongozi na kumfanya asiweze kushindana naye kwenye kinyanganyiro. Ni woga tu. Kama sio woga Why kumfukuza? Hilo tuliache? Kwa sababu ninaamni alifukuzwa na Mkulu mwenyewe wala sio vinginevyo!

Turudi kwa Membe kupigiwa kura na mimi. Hata iwe kura yangu peke yangu nitampigia Membe katika Uchaguzi ujao. Mbunge na Diwani itategemea! WanaJF wenzangu wakati wa Uchaguzi angalieni kura atakayopata Membe huku Idukilo - ikiwa ni kura moja basi mjue ni ya kwangu mimi. Kwa nini nitampigia kura Membe wala sio siri nina sababu zangu naziweka hapa chini.

Kwanza Membe sio mtu wa hatari. Membe ni mtu mzuri sana na mjasiri. Ujasiri aliouonesha Membe kwa hakika hauna hila na wala sio kiburi. Membe sio mkiburi bali ni mjasiri. Kama hujamsikiliza Membe hebu jaribu kumsikiliza kwa makini. Hata ukimsikiliza mahajiano yake na Jenerali Ulimwengu utagundua kuwa Membe ni mzuri sana. Kwa ukweli JPM nilimpenda sana ile 2015 na niliamini alikuwa mtu sahihi lakini kwa namna ambavyo ameedndesha mambo yake ni kubinya demokrasi na yeye kuthamini zaidi maendeleo ya vitu badala ya watu sina tena mahaba naye. JPM ameonea sana raia na kuwanyanyasa sana WaTanzania. Yeye na Timu yake wanaila nchi kisawasawa. Kaangelie malipo yanayofanyika kwa kila kazi ifanayikayo Wizara ya Dedha - hata kama yupo safari Katibu Mkuu unakuta ana malipo yake pembeni hata kwenye orodha ambayo haimhusu. Hovyo kabisa!

Kwa kukataa kwa Membe kuminywa kwa demokrasia nchini na kuiona nchi inaendeshwa kidikteta ni dhahiri kuwa Membe ni msaada mkubwa sana kwa wanyonge kama sisi. Wale wanaoitwa wanyonge Membe ndiyo anawafahamu na wala sio Magu. Juzi ndugu yangu aambaye ni Mtendaji wa Kata alimweleza mama yake kuwa anataka kuchukua kura ya kugombea ubunge akaambiwa na mama yake aache tu mpaka kipindi cha JPM kipite kwa sababu JPM na mbunge wa sasa wanaweza kumfanyia mambo mabaya. Ukiangalia kwa undani hapo ni watu wanajifanya wanamkubali JPM na baadhi ya wabunge wake lkn kumbe wana woga mioyoni mwao. Wanaogopa utawala wa kibabe!

Kwa kweli kwa vitendo vibaya JPM anavyovifanya dhidi ya wapinzani wake imetokea tu na mimi sasa simpendi tena. Yaani simpendi tu!
Wengi wanasema kama wewe kimoyomoyo!
 
Back
Top Bottom