Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Ettore Bugatti

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
4,125
8,231
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

Screenshot_20220426-203125.jpg

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
 
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201639

Hii ni kutoka Mataga…
 
Mkuuu

Unatuchuliaje asee

Umeona sisi ni vilaza sanaa ee.

Yaani hawa UVCCM hawa

MZEE WANGU kinana wee ni mtu wa chuga
Najua Hujawai kutuangusha Kaskazini

Embu wafunze hawa Vijana.

Siasa za Michongo ndio hii hatutakagi etiii
 
mhh mbona wanataka kuharibu honeymoon ya mama..labda ndo maana biden hataki kukaa na mama meza moja..
Biden is Old 78 yrs old.

Hawezi Risk kukutana na Rais toka Africa.

Ndio maana Rais Samia akakutana na kamala.

Ili hata akipata korona.

Basi anaweza pambana.

Nyie si mlisema Rais wenu alifariki kwa korona, wameamua kumlinda wao.
 
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201639

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Hiyo line ya mwisho .. "and"...tatu za nini?
 
Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele.

Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

View attachment 2201639

NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
Mbona hamna signature ya Putin?
 
Back
Top Bottom