UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE
Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374.
Jimbo hili lina jumla ya Sekondari:
*25 za Kata (Serikali)
*2 za Binafsi (Katoliki & SDA)
Sekondari mpya tano (5)...
Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa.
Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
Habarini wapendwa.
Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
Habari za wakati huu wana jukwaa
Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji
Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
UJENZI WA SEKONDARI YA KUMBUKUMBU YA PROFESA DAVID MASSAMBA WAANZA RASMI
Leo, Jumatatu. tarehe 23.10.2023, ujenzi wa David Massamba Memorial Secondary School umeanza rasmi Kijijini Kurwaki, Kata ya Mugango, Musoma Vijijini.
Uamuzi wa kuenzi kazi na mafanikio makubwa ya utaalamu na ubingwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora.
Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia...
Wakuu heshima kwenu.
Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda.
Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi...
Wana JF
Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu.
Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na wachambuzi wengi wa mambo ya kiuchumi na kidiplomasia. Kutolewa kwa waraka huu, kunachukuliwa kuwa ni...
Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo.
Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili.
Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi karibuni zimetoa kwa pamoja pendekezo la “Kuimarisha Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia kati ya China na...
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023.
Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda.
MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika.
Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
Kitongoji cha Gomora ni moja ya vitongoji vitatu (3) vya Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja
Vitongoji hivi vitatu (3) vinayo Shule ya Msingi moja iliyojengwa Mwaka 1959 na Kanisa la Mennonite. Shule hiyo (S/M Musanja) kwa sasa ni ya Serikali.
Matatizo makuu yanayowakabili wanafunzi wa S/M...
Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA.
Na Mwandishi wetu - Momba
Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa Barabara ya Ikana - Iyendwa – Namchika yenye urefu wa kilomita 33 ambapo hapo awali ilikuwa haipitiki na...
Hello
Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice.
Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote.
Namba yangu Ni 0614899688
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.