Mipira yenye ubora kwa ajili ya kumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,177
2,281
Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo:

I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira)
ii) Milimita za Mpira (unene).
iii) Pressure nzuri ya maji
iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu)

NB: Nikipata na bei itakuwa jambo jema. Nilizoea kutumia vibarua wa kumuagilia kwa ndoo lakini Sasa naona mpira unaweza kuwa the best solution.

Natanguliza shukrani kwa msaada.
 
Back
Top Bottom