Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kwenu Wizara ya Ujenzi

Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola

Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama tupo karne ya 19 huko

Najua kwa somo hili hamtajenga hivyo vituko Mwenge- Kurasini na Bunju hadi Posta
FB_IMG_1703055204377.jpg
 
Angola Luanda imejengeka bwana wale jamaaa km isingekua vita naona ingekua ulaya ndogo ya africa ww jiulize wamekuja kutulia mwaka 2000 ila ndo pamejengeka hatari miundo mbinu iko safiii Namibia ka nchi ka watu kidogo kanatuzidi miundo mbinu yaaan sisi tatizo ni viongozi ni majizi na majambazi yalio kalia ofisi za uma
 
Kwenu Wizara ya Ujenzi

Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola

Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar.

Najua kwa somo hili hamtajenga hivyo vituko Mwenge- Kurasini na Bunju hadi PostaView attachment 2847820
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
 
JPM alijaribu kujenga kuanzia Kimara Mwisho hadi Kibaha.

Kila nikiwa natumia zile barabara hua naendelea kumkumbuka legendary

Yaani huwa napepea na speed 120 hadi 160km/hr.

Let the Man rest in peace, despite his bad side lakini kwenye hili the Oldman was good at 👏👏👏💪
 
Ndo akili zenu zilipoishia kila siku kutafuta sababu kukwepa majukumu.

Ile barabara ya kibaha hadi kimara njia 6 imejengwa kwa mafuta yapi?
 
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Dhahabu na alamasi hamna, chakula hamna, mbuga za wanyama hamna, mifugo hamna, na huduma zingine zinazoweza kuingiza pesa hamna.
 
Kwenu Wizara ya Ujenzi

Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola

Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar.

Najua kwa somo hili hamtajenga hivyo vituko Mwenge- Kurasini na Bunju hadi PostaView attachment 2847820
Watasingizia Angola Wana dollar kibao za mafuta, so wanaweza kugharamia Barabara za aina hiyo
 
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Nilitegemea hiki kisingizio kuibuka. Wakati huo viongozi wakiendelea kuiba Kwa mwavuli wa ccm. Wapuuzi sana.
 
JPM alijaribu kujenga kuanzia Kimara Mwisho hadi Kibaha.

Kila nikiwa natumia zile barabara hua naendelea kumkumbuka legendary

Yaani huwa napepea na speed 120 hadi 160km/hr.

Let the Man rest in peace, despite his bad side lakini kwenye hili the Oldman was good at 👏👏👏💪
Yule mzee ingawa sikumkubali kwenye maeneo kadhaa ila kwenye haya mambo nilimkubali sana
 
Angola wana mafuta. Sisi tunategemea tozo tu. Mkono mtupu haulambwi au unataka tuongeze tozo na kodi ili tuweze kujenga barabara za aina hizo unazotamani? Serikali ikiongeza tozo kidogo tu nyie ndoo wa kwanza kupiga kelele sana na kuitukana serikali.
Mkuu si huwa mnasema tuna raslimali nyingi hadi makaburu wanatuonea wivu? Au umejisahau kwenye ile propaganda yetu ya muda mrefu?
 
Back
Top Bottom