Tuchukue tahadhari sana Corona sasa ipo DRC congo!

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,370
Wakuu,

Ule ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona umeshawasili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Ikiwa ni Siku chache tu tangu mgonjwa wa mwisho wa Ebola atoke hospitali nchini DRC sasa imeripotiwa mgonjwa wa kwanza wa Corona nchini humo ameripotiwa na kuthibitishwa.

Inasemakana mgonjwa Huyo wa kwanza ni raia kutoka Ubelgiji na tayari ameshatengwa (quarantined).

Ni wakati sasa kwa nchi za Afrika Mashariki kuchukua hatua madhubuti za kuzuia ugonjwa huu kuingia maana nchi hizi zinaingiliana kwa kiasi kikubwa sana na DRC.

Chanzo: BBC- Idhaa ya Kiswahili

-----
KINSHASA, March 10 (Reuters) - Democratic Republic of Congo confirmed its first case of coronavirus on Tuesday, bringing the number of countries in sub-Saharan Africa hit by the epidemic to seven.

The patient is a Belgian citizen who had been in Congo for several days. He and others with him have been placed in quarantine, Congolese health minister Eteni Longondo said on Radio Okapi.

"What I'd like to tell people is not to panic," he said.

The outbreak has largely spared sub-Saharan Africa so far, but since February a few cases have been registered in Nigeria, Senegal, South Africa, Cameroon, Togo and Burkina Faso. North African countries have registered dozens of cases.

Congo's first coronavirus case comes as its long-running Ebola epidemic appears to be on the wane. The last patient being treated for Ebola was discharged on March 3 - the first time there have been no active cases since the outbreak was declared in August 2018.

Source: Democratic Republic of Congo confirms first coronavirus case
 
Hili Likorona lilikua la kuhujumiana wao kwa wao, ndio maana linaenea kwa Wazungu, Waarabu na Wachina. Naona Mrusi halijambishia hodi, au atakua yeye ndio mpishi wa haya mambo.
Na mimi nimeshangaa sana why Russia... Halafu hawajadili Russia iliyopakana na corona mbele nyuma kushoto kulia wanaanza kutujadili sisi... Tusipopata vichwa vyao havitulii.
 
Habari wanajamvi! sasa yatupasa kuchukua tahadhari zaid maana sasa kuna kisa cha CORONA kimeripotiwa kwa majirani zetu Congo leo hii!

Updates with minister quote, background

Back
Top Bottom