ugonjwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Machine rahisi za kupima zilivyoleta mapinduzi ya ugonjwa Italy

    Moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu kuwa Corona imetangazwa kuwa imedhibitiwa Tanzania, pasipokuwapo na takwimu zozote rasmi za kimaabara hadharani. Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu mafanikio haya makubwa ambayo Tanzania imeyapata...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Tafsiri ya ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii

    Utalii sasa hivi umekuwa haramu kwa wengi
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania BASATA: Shughuli za wasanii hazijaruhusiwa kwa sababu ya janga la ugonjwa wa Corona

    Katibu Mtendaji anawakumbusha Wasanii na wadau wote wa Sanaa kuwa shughuli za Sanaa bado hazijaruhusiwa rasmi kuendelea kufanyika kutokana na janga la ugonjwa wa CORONA. Amesema hayo huku wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam wakijiandaa na sherehe za kuiaga Corona nchini Tanzania zitakazoambatana...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  5. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa

    Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi a
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame awakemea vikali Marais wa Afrika wasiowajibika kuzuia janga hatari la ugonjwa wa Corona

    Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa mpya unaohusianishwa na Covid19 wawashambulia watoto

    Watoto wengi nchini Uingereza na Marekani wameathirika na ugonjwa usio wa kawaida unaosababisha uvimbe wenye kuhusishwa na #CoronaVirus Watoto 100 nchini Uingereza wameathirika na utafiti unaonesha kwamba dalili kama hizo zimeonekana kwa watoto wa sehemu nyengine barani Ulaya Dkt Mike Ryna...
  8. Witmak255

    JamiiForums Tanzania Kuna ugonjwa ukiumwa unakuwa unakiona kifo

    Kama huamini Mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iko sahihi kutoruhusu lockdown kila ugonjwa wa kuua ukija Kuna wanaokufa na kuna wanaobaki sembuse corona?

    Migonjwa ya kuua kibao imeshatokea kiwe kipindupindu,malaria ,degedege ,ukimwi no lakini hiyo.migonjwa inaua lakini kina inaowrsa kuua na wengine wanabaki imeshindwa kuua wote sembuse corona? Siku ya kifommtu Kama umeandikiwa kufa ikifika siku yako hata uvae barakoa kuikwepa corona isikuue...
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania BoT: Watu watumie huduma za mitandao, benki zikae na waliokopeshwa, riba zifikiliwe kutokana na Corona

    SWAHILI: CORONAVIRUS: BoT YAONGEZA KIWANGO CHA MIAMALA YA KWENYE SIMU NA UNAFUU KWA HATI FUNGANI Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania imepitisha hatua mbalimbali za kisera zinazolenga kukabiliana na athari za mlipuko wa #COVID19 katika Uchumi ili kudumisha uthabiti wa Sera...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Daktari Maryrose Kavura amechambua kwa kina ugonjwa wa Corona

    May 8, 2020 Dar es Salaam, Tanzania DAKTARI Aichambua CORONA, Atoa USHAURI - "Hakuna SAYANSI Bila MUNGU" GLOBAL TV Mtaalamu huyo wa Maendeleo ya Binadamu amefanya mahojiano maalum na Daktari Maryrose Kavura Majinge, ambaye amechambua kwa kina kuhusiana na janga la ugonjwa wa Corona na kutoa...
  12. masara

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya wabunge wa CCM ni kumsifia Rais na Serikali na sio kukosoa na kuhoji?

    Za mda huu wadau, Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wajibu wa wabunge wetu wa CCM, Pale wanapoamua kuwa upande wa Serikali asilimia mia moja hali wao ni fimbo ya Serikali. Unakuta mbunge anasifia serikali kuliko hata anavyomsifia mwezi wake au mtoto wake anapofanya vizuri. Ikumbukwe Tanzania...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hatua ambazo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezichukua hadi sasa katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona ni kama ifuatavyo:-

    1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa 2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa 3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

    Dunia nzima sasa ni kama imesima kwa sababu ya hofu ya kirusi cha Corona. Watu hawaendi makazini. Shule zimefungwa. Michezo imesitishwa. Matamasha hakuna. Mikusanyiko marufuku. Madukani kuna uhaba wa baadhi ya bidhaa hadi watu wanatwangana ngumi wakigombea makaratasi ya chooni. Eti yote hayo...
  15. cha1509

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

    Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

    Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely defeated. Since...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC Gambo: Mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 bila kujali ugonjwa uliomuuwa marehemu

    Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema mazishi yoyote yatakayofanyika mkoani Arusha yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10 hata kama marehemu hajafa kwa ugonjwa wa Corona. Gambo amesema mkoa umechukua hatua hiyo ili kudhibiti misongamano ya watu katika kipindi hiki cha janga hili la Corona...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania ambaye hadi leo hii anapata shida kuielewa kwa haraka hii Misamiati Miwili mipya ya sasa?

    Mmeshakuwa Watu wazima sasa na siyo kila Kitu hadi mtafuniwe na muwekwe wazi bali mkibahatika tu kukutana na hii Misamiati mikubwa Miwili iliyoanza Kuzoeleka na Kutumika kuwahabarisha Watanzania kuhusu Kifo cha Marehemu au Sababu ya Kifo chake tafadhali hebu muwe mnaelewa haraka. Misamiati...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya watalaamu wenu wapo wapi? Tunahitaji taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Covid-19

    Kila mtu sasa hivi amechanganyikiwa, watu wanaishi kwa hofu maana elimu au taarifa kuhusu huu ugonjwa zinachanganya. Mimi binafsi nilitarajia kuwa hata kila baada ya saa moja anakuja mtaalamu wa wizara ya afya na kutoa elimu juu ya huu ugonjwa kwenye Tv. Mfano mmoja tu ni kwenye kuvaa mask ni...
Back
Top Bottom