MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,168
- 3,306
Habari,
Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo.
Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu.
Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi.
Ukienda kupima unaambiwa ni malaria au UTI unapewa na dawa za kikohozi na mafua.
Ni takribani mwezi sasa hii hali nimeiona na familia yangu mwenyewe imetukumba.
Ni familia nyingi sana zimekumbwa na hii hali.
Nimejaribu kupita katk vituo vya afya (zahanati) wagonjwa ni wengi...shuleni nako ruhusa za wagonjwa ni nyingi sana
Kwenye maduka ya dawa mauzo yamepanda sana kutoka 20,000 kwa siku hadi 50,000-70,000 kwa siku.
Ila hakuna vifo vilivyo ripotiwa.
Naomba mamlaka husika iangalie hili swala isijekuwa tumevamiwa kirusi kipya.
Nimepokea ushauri wa kuweka location.
Wilaya ya geita
Kata ya Kaseme
Hiii kata ndio imeathirika