ugonjwa

  1. MC44

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa ugonjwa usiofahamika mkoani Geita

    Habari, Nipo Geita kumekuwa na hali ambayo inatia shaka kidogo. Kumekuwa na ka mlipuko ka ugonjwa ambao unatembelea kila familia na kila mtu. Dalili kubwa ni homa...mafua na kikohozi. Ukienda kupima unaambiwa ni malaria au UTI unapewa na dawa za kikohozi na mafua. Ni takribani mwezi sasa...
  2. Mr Big

    JamiiForums Tanzania Maombi: Dini mbalimbali, kabila tofauti ndani ya Tanzania, tuungane kwa umoja kuomba Mungu atuepushe na ugonjwa wa Corona

    Wakuu nawasalim, Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa. Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
  3. guzman_

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Watanzania hawata wasamehe ugonjwa huu ukifika nchini

    Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie. In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa corona waanza kuzalisha wakimbizi wa kichina, UNHCR wajiandae

    Dunia imezoea kuona wakimbizi wa kivita. Sasa hivi wachina wengi wenye pesa kutoka miji ambayo haijaathirika na huo ugonjwa wameanza kukimbia china kukimbilia nchi zingine duniani kuukimbia huo ugonjwa Shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa lianze kujiandaa kukabiliana na hili wimbi jipya la...
  5. Louis II

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dada yangu anaangamia kwa ugonjwa Saratani ya Ini, damu na titi

    Ndugu zangu, Nipo/ tupo katika kipindi kigumu sana kama familia, dada yetu aligundulika kuwa saratani ya Ini, damu na titi. Vyote hivyo vipo katika stage ya mwisho na mbaya sana na Madaktari wametupasha kuwa hakuna kitu wataweza kufanya kunusuru uhai wa ndugu yetu. Mioyo imejawa na simanzi...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa COVID-19

    Wataalamu wa China wamethibitisha kuwa dawa ya Malaria aina ya Chloroquine Phosphate ina ufanisi wa kutibu ugonjwa wa Nimonia unaosababishwa na virusi vya Corona COVID-19. Naibu Mkurugenzi wa Kituo cha Taifa cha Maendeleo ya Teknolojia ya Viumbe kilicho chini ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Tusishangae Virusi vya Corona kuingia nchini

    Nchi zilizo karibu na china zingine zimefunga mipaka na hakuna raia yeyote kuingia hata awe raia wa nchi husika labda akae kambini kwa wiki nzima na vipimo juu. Nchini Nigeria upekuzi wa kiafya/kupima umekuwa mkubwa kutokana na nchi hiyo kuwa na wasafiri wengi kutoka china. Hapa Tanzania...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Kwa nini cases za ugonjwa huu hazijaripotiwa Afrika? Je ni kweli miili ya Waafrika ina kinga dhidi ya kirusi hiki?

    Hapa kuna maelezo mazuri toka DW yakieleza theories mbalimbali juu ya "kwa nini ugonjwa wa Coronavirus haujaripotiwa Afrika". Moja ya sababu zilizotaja ni uwezo mdogo wa maabara za nchi nyingi za Afrika zmbazo hazikuwa na uwezo wa kutest coronavirus. Hadi wiki iliyopita ni maabara za nchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyema serikali, Wananchi tukatambua ugonjwa wa akili na viashiria vyake

    Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maambukizi mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27

    Maambukizi mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27 na hiyo ni kutokana na kuboreka kwa utoaji huduma za mapambano ya ugonjwa huo ukilinganisha na waginjwa 164 kati ya watu 1000 mwaka 2015 hadi wagonjwa 119 kati ya watu 1000 mwaka 2018. Hayo yamesemwa Februari 05, 2020 na...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siku ya Saratani Duniani: Saratani ni Ugonjwa wa Pili kwa kuua Duniani huku asimilia 25 ya vifo vya Saratani husababishwa na Tumbaku

    Saratani ni kundi la Magonjwa yanayoweza kuanza takriban kwenye kila Kiungo cha mwili, seli zinapokua kuliko kawaida bila kudhibitiwa. Ukuaji huo unaweza kuvamia viungo vingine vya mwili vilivyo pembeni na kilichoathirika Hadi mwaka 2018, Saratani ni ugonjwa wa pili kwa kusababisha vifo...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania China: Mji wa Wuhan kulikoanzia virusi vya Corona kujenga Hospitali kwa siku 6 kusaidia katika kutibu Ugonjwa huo

    Mji wa Wuhan unaharakisha kujenga Hospitali mpya kusaidia kutibu Wagonjwa waliokumbwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu 80 na zaidi ya 870 wameambukizwa nchini humo Kusambaa kwa virus hivyo kulianzia kwenye Mji huo ambapo sasa Madaktari wanasema Waathirika wanapanga foleni kwa muda...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia nayo sio ugonjwa kweli?

    Halo JF habari mchanganyo. Nimeishi na kuona watu baadhi wenye tabia hii kuhusiana na viatu vyao bila kujali ni vipya au vimeisha. Mtu hataki kuvaa kiatu inavyotakikana. Yaani anakanyagia tu, haswa sehemu za visigino haswa viatu vyenye kufunika na sio sendo. Mwingine kiatu kipya kabisa wala...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Vifo kutokana na ugonjwa wa surua vyafika 6000

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo mlipuko wa ugonjwa wa surua mkubwa zaidi ulimwenguni umesababisha vifo vya maelfu ya watu ijapokuwa ugonjwa huo unaweza kukingwa kwa chanjo. Idadi ya watu waliokufa kutokana na mlipuko wa maradhi ya surua imepindukia...
  16. everlenk

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BAKTERIA HUYU Habari wanajamvi!!! Naomba kujua tiba ya Helicobacter pylori( H-pylori) ni ipi? Na je huu ugonjwa unatibika ? Je wapo watu walioumwa wakapona? Nina ndugu yangu yapata sasa miezi 6 anateseka na huu ugonjwa, anatapika sana sana mpaka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ugonjwa wa macho mekundu umeingia Dar?

    Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho. Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
  18. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  19. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa wa mbuzi kuzunguka. Huu ni ugonjwa gani?

    Habarini! Mbuzi wangu wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa kuzunguka. Yaani huu ugonjwa mbuzi akiugua anashindwa hata kutembea (anabaki kuzunguka tu hapo hapo) na unaonekana huwa unaathiri upande fulani wa mbuzi. Kwa mfano, akiathirika sana kiasi cha kushindwa kusimama, yaani akishalalia tu...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha ugonjwa wa Malaria chapungua kwa zaidi ya asilimia 50 ndani ya miaka miwili

    Kiwango cha ugonjwa wa Malaria nchini, kimepungua zaidi ya asilimia 50 ndani ya miaka miwili kutoka asilimia 14 hadi kufi kia asilimia 7.3. Pia, vifo vitokanavyo na ugonjwa huo, vimepungua kwa asilimia 75. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
Back
Top Bottom