ugonjwa

  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hatari iliyopo nyuma ya ugonjwa wa COVID19

    Nimejaribu kusoma andiko lililiochapishwa na shirika la Afya Duniani lililochapishwa tarehe 4/4/2020 likitoa maelekezo juu ya janga la COVID-19 na Tuberculosis (TB). Andiko hili linasisitiza Serikali kutoacha kudhibiti Ugonjwa wa TB unaoenezwa na bacteria na kuathiri mfumo wa upumuaji kwa...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

    MCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona. Akizungumza leo Jumapili na Mwanaspoti, Pierre ambaye jina lake ni Peter Mollel, amesema amebaini kukutwa na ugonjwa huo juzi. Akizungumza kwa njia ya simu Pierre amesema kwa sasa yupo...
  3. Mkazamoyo

    JamiiForums Tanzania Tanga: RAS aagiza Walimu waendelee kuhudhuria kazini licha ya agizo la Serikali kuzuia mikusanyiko

    Wakati serikali ikiwahimiza wananchi wake kupunguza mikusanyiko na safari zisizo za lazima ikiwa ni pamoja na kuzifunga shule zote na vyuo vyote nchi nzima kwa lengo la kupunguza athari za kusambaa kwa Virusi vya CORONA, imebainika hali ni tofauti huko mkoani Tanga kwani katibu Tawala wa mkoa...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 yanavyoongezeka natoa ushauri Serikali iagize hii dawa kwa wingi toka nchi za nje inapotengenezwa

    Mimi binafsi sio mtaalamu wa mambo ya afya,ila kidogo napenda kusikiliza ushauri hasa wa wataalamu. Tokea janga hili baya la ugonjwa wa Covid -19 kulipuka nimekuwa nikishinda katika luninga na kuangalia ushauri wa wataalamu wa afya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huu. Mfano Cnn mara nyingi...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli ametambua uwepo wa viongozi wa dini wakati huu wa ugonjwa wa Corona pekee?

    Leo ndiyo siku ya kwanza ambayo Rais Magufuli amewaomba viongozi wa dini nchini kote pamoja na waumini wao, wamliiie Mungu wetu ili atuondolee na autokomeze kabisa ugonjwa huu hatari wa Corona unaosumbua duniani kote Wito huo sisi waumini wa dini mbalimbali tunaupokea kwa moyo mkunjufu na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

    Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa. Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa. Baba...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanaosumbuliwa na ugonjwa wa Gout/Acute Gouty Arthritis ni Wachaga?

    Najua Sasa macho na masikio yote Ni Corona, nikaona Leo nizungumzie huu ugonjwa wa Gout, ambao nasikia Ni kukakamaa kwa joints na maymiv ya Sina flani ya misuli inayopelekea kushindwa kutembea vizuri na mikono pia kupata shida ya kukunjika. Wanasema ugonjwa huu unasababishwa na acid flani...
  8. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Marekani wameongoza kwa vifo vya Covid-19 ina watu 20466 wamefariki 1731 Jumamosi ya 11/4/20

    CORONAVIRUS 🇺🇸 The United States became the world leader in coronavirus deaths Saturday, a grim indicator of the country’s status as the global epicenter of the pandemic. As of Saturday evening, the U.S. had recorded about 526,396 COVID-19 cases and 20,577deaths, according to Johns Hopkins...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Walimu kwa jamii na kwa Taifa katika kipindi hiki cha msambao wa ugonjwa wa COVID-19

    Ualimu ni taaluma yenye mawanda na matao mapana sana huenda kuliko taaluma nyingine nyingi zilizopo. Mwalimu licha ya kuwajibika kwa taaluma yake, wateja wake (wanafunzi), mwajiri wake, bado anao wajibu pia kwa jamii inayomzunguka na kwa Taifa lake kwa ujumla. Mwalimu anapaswa kuwa mtoa...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV

    Wanabodi, Vita dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19, Mapambano yanaendelea, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho asubuhi, watakuwa live ndani ya kipindi cha JLNH (Jicho Letu Ndani ya Habari) kinachorushwa na Star TV, kila...
  11. Dr. Sajjad Fazel

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona

    Ijue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona Watu wengi wanasambaza taarifa za uwongo juu ya Corona kwenye mitandao. Kama daktari na mtafiti wa afya niliyazungumzia baadhi ya hizo taarifa hapa. Ugonjwa wa Corona ni nini? Taarifa za uwongo kuhusu Corona unasambaaje? Nini taarifa za...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Sallam SK aelezea baada ya kupona ugonjwa wa Corona

    Manager wa msanii mkubwa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka baada ya kupona ugonjwa wa Corona akiwa amefanyiwa na moja ya chombo cha habari amesema kwamba wakati anatangaza kuwa amepata Corona ndugu zake wa karibu, waliudhunika na wengine kuanza vilio pamoja na wadau mbalimbali wa mziki na...
  13. impelle

    JamiiForums Tanzania Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

    Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:- “Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    TANZIA Nguli wa habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Martha Swai. Utangulizi Marehemu Marin Hassan...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vifo Vinavyotokana na Magonjwa ya Mafua vs Ugonjwa wa Corona Ulaya & Marekani

    Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi. Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  17. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Wanaoadhirika au kuumia zaidi ni masikini ilihali ugonjwa wenyewe unawaumiza zaidi matajiri

    Ukiangakia kwa umakini mapambano yanayoendelea duniani utagundua kwamba wanaoumia zaidi ni masikini au hohe hahe. Angalia tukio lililotokea pale Kenya waliothirika kwa kipigo ni masikini ambao wengi wao walikua wanatoka kwenye miangaiko ya kujitafutia chakula chao na cha watoto. Kuna usemi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania China ina dawa ya CORONA, kinachosubiriwa Ni ugonjwa huu kupamba Moto ulimwengu mzima ili apige pesa

    Kwa wenye akili kubwa watakubaliana na Mimi kuwa nchi ya China tayari in dawa ya ugonjwa wa CORONA, ila kwa kuwa hii ni Vita ya kiuchumi, wanasubiri nchi nyingi zikabwe barabara na ugonjwa huu Kisha wapige pesa kwa kuziuzia dawa. Time will tell.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Sekta ya Utalii itaporomoka sana Duniani hata baada ya ugonjwa kudhibitiwa

    Inasemekana hadi sasa sekta ya Utalii ndio imepata pigo kubwa sana kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa Corona. Wataalamu wanasema nchi zinazotegemea sana utalii katika uchumi wake zitayumba sana hata baada ya ugonjwa huu kudhibitiwa. Inashauriwa Wachumi na wanasiasa waanze kubuni sasa mikakati ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Corona sio wa kuisha hivi Karibuni Duniani

    Nionavyo mimi, Ugonjwa wa corona hauwezi kuisha anytime soon na hata baadhi ya nchi zilizochukua uamuzi wa lockdown watasitisha lockdown na bado maambukizi yataendelea. Mfano China wameondoa lockdown lakini maambukizi yanaendelea. Sababu kuu ninavyoona ya ugonjwa huu kutokuisha duniani mapema...
Back
Top Bottom