China ina dawa ya CORONA, kinachosubiriwa Ni ugonjwa huu kupamba Moto ulimwengu mzima ili apige pesa

Je, Isabella aliwezaje kupona??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupona ugonjwa wa kirusi ni kinga yako tu ya mwili iwe imara zaidi ya huyo kirusi hapo ndo unapona ila hamna dawa ya kutengenezwa ya kuua kirusi.............na ndio maana chanjo nyingi ni za magonjwa ya virusi ile chanjo inaifanya kinga yako ya mwili iwe imeshajiandaa kwa shambulizi la kirusi siku akiingia mwilini....hizi tiba wanazopewa ni za kutibu au kutuliza yale magonjwa yanayoibuka baada ya kirusi kushambulia (mfano kwa ukimwi kuna tb..na magonjwa mengine upande wa corona kuna pneumonia hizo tiba zinatibu hayo magonjwa tu) ila sio kumuua kirusi mwenyewe hio kazi ni ya kinga ya mwili tu.....
 
hapa ndio ninaposhangaa juu ya HIV.kwanini sio self limited depending on carrier's immunity.
 
Hapana Mtarban corona haina tiba wala kinga itaondoka kama ilivyokuja
Kwa wenye akili kubwa watakubaliana na Mimi kuwa nchi ya China tayari in dawa ya ugonjwa wa CORONA, ila kwa kuwa hii ni Vita ya kiuchumi, wanasubiri nchi nyingi zikabwe barabara na ugonjwa huu Kisha wapige pesa kwa kuziuzia dawa.

Time will tell.

Jr
 
Wanatibu zile dalali kama mafua, kikohozi, pneumonia na mengine hivo afya ikiwa vizuri kirusi kinakua hakina nguvu ya kukudhuru tena.
Ila ukiwa na hali mbaya kirusi kikafika kwenye mapafu chances zako za kupona ni ndogo sana.
Kumbe mafua na pneumonia yanatibiwa! Si nayo yanasababishwa na virus?
 
Back
Top Bottom