ugonjwa

  1. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na homa ya Maleria ni kweli mbu anaweza kukuambukiza Ugonjwa wa Busha na Matende?

    Wakuu naomba mnijuze maana mimi mimi ndo nimeskia leo! Nilikuwa sina habari, Na Mbu huyo anakuwa Amemuuma mtu mwenye hayo magonjwa hapo juu, Kisha akikuuma na wewe pia lazima uugue, pia naomba kujua dalili zake na pia tiba au chanjo.
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

    Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa Taarifa kutoka Ikulu imesema “Mkoa wa Analamanga, ambapo Mji Mkuu unapatikana, unarudishwa kwenye...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini katika Misiba ya Watu Maarufu au hata Wake zao au Wapenzi Wao Ugonjwa huu huwezi Kukosa Kuusikia ukinong'onwa na Wahudhuriaji?

    Ugonjwa wenyewe unajulikana Upungufu wa Kinga ndani ya Mwili wa Binadamu na Mpiga Kura halisi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2020 Tanzania.
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa Serikali: Kuhusu Muhula wa I na II 2020 Baada ya Ugonjwa wa Corona

    1. Muhula wa kwanza utaanza tarehe 29.06.2020 mpaka tarehe 28.08.2020 2. Likizo fupi itakuwa kuanzia tarehe 29.08.2020 mpaka 06.09.2020 3. Muhula wa pili utaanza tarehe 07.09.2020 mpaka tarehe 18.12.2020 4. Siku tulizosoma kabla ya kufunga shule kwaajili ya corona ni 52,siku zilizobaki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

    Nimeona picha za Tunda insta baada ya Bilionea Laizer kutangazwa akijipa jina la Tunda Laiser Picha zake zimeshtusha mashabiki kutokana na muonekano wake akiwa kakonda na mabaka meusi yamemjaa miguuni. Wamehoji pia ukimya wa mwanadada huyu ambaye kwake Social Media ilikuwa kama kifungua kinywa...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 uwe somo kwa nchi za Afrika kuboresha Mifumo ya Afya na Miundombinu ya Afya

    Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 4 duniani kwa Ugonjwa wa Sickle Cell. Nini kifanyike kukabiliana na ongezeko la ugonjwa huu?

    "Tanzania imetajwa kuwa ya 4 kwa ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) duniani, hali inayosababisha asilimia 7 ya vifo kila mwaka. Watoto elfu 11 huzaliwa Tanzania na ugonjwa wa Seli Mundu kila mwaka."- Waziri Ummy Mwalimu. ===== WAZIRI UMMY AZINDUA MWONGOZO WA MATIBABU YA SIKOSELI...
  9. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

    Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi kaniambukiza ugonjwa wa Zinaa 1: Nikikojoa nasikia maumivu sana na baada ya kumaliza kukojoa nikikaa kuna...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
  11. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania China reports 11 new confirmed, 7 asymptomatic COVID-19 cases for June 12

    Niliwahi Kumsikia mahala Mtaalam Mmoja akisema kuwa kama pakiwa pametokea tatizo / janga fulani ndani ya nchi husika hata kama juhudi zinafanyika za kukabiliana nalo na zimeanza kuzaa Matunda ila bado haipaswi kwa Kiongozi husika wa nchi Kusifiwa, Kupongezwa na Kupambwa kila Kona kwani Kupunguza...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilishindwaje kunusa ugonjwa wa Nkurunziza na familia yake na kumsaidia? Sasa tuichunge hali ya kiusalama ya Burundi mpaka mteule aapishwe

    Burundi na Nkurunziza ni marafiki zetu na ambao tangu enzi ya JK tumehakikisha Burundi imekuwa salama. Juhudi za kuifanya Burundi kuwa salama zilimfanya PK asimpende JK, na Burundi imekuwa nasi bega kwa bega. Wakati huo huo PK akiwa na chuki kubwa kwa Nkurunzinza Ilipokuja awamu mpya, urafiki...
  14. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Virus vya Corona-Madaktari wadai ni ugonjwa usioleweka hadi sasa

    Unapozungumza na madaktari wa chumba cha wagonjwa mahututi nchini Uingereza na mataifa mengine duniani ambao wamekuwa wakikabiliana na athari mbaya za Covid-19 kwa wiki kadhaa, maneno wanayorejelea ni: Hatujaona kitu kama hiki. Walijua kwamba kuna ugonjwa unaokuja: Ugonjwa unaoathiri mapafu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa Tanzania inadai imefanikiwa kudhibiti virusi vya Korona, nashauri isipewe misaada ya kupambana na Korona

    Kwa kuwa tayari Tanzania imeudhihirisha ulimwengu kuwa tayari imeshinda Vita ya ugonjwa wa Korona na Hadi sasa in wagonjwa wasiofika hata 20 kwa nchi nzima, nazishauri nchi za magharibi ambazo bado zinatoa misaada kwa serikali ya Tanzania yenye lengo la kupambana na virusi vya Korona, nchi hizo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  17. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ugonjwa gani?

    Miaka ya nyuma nikiwa kijana nilikua na tabia flani ya kukaa kimya... Naweza kumaliza siku nzima sijaongea kabisa na watu, meseji za watu nilikua si reply...yaani nakua na mood ya kutokutaka mazoea kabisaa na mtu yoyote... Nilikua napendelea zaidi kujifungia chumbani..yaani nilikua na mind my...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Machine rahisi za kupima zilivyoleta mapinduzi ya ugonjwa Italy

    Moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu kuwa Corona imetangazwa kuwa imedhibitiwa Tanzania, pasipokuwapo na takwimu zozote rasmi za kimaabara hadharani. Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu mafanikio haya makubwa ambayo Tanzania imeyapata...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Tafsiri ya ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii

    Utalii sasa hivi umekuwa haramu kwa wengi
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania BASATA: Shughuli za wasanii hazijaruhusiwa kwa sababu ya janga la ugonjwa wa Corona

    Katibu Mtendaji anawakumbusha Wasanii na wadau wote wa Sanaa kuwa shughuli za Sanaa bado hazijaruhusiwa rasmi kuendelea kufanyika kutokana na janga la ugonjwa wa CORONA. Amesema hayo huku wakazi wa mkoa wa Dar es Salaam wakijiandaa na sherehe za kuiaga Corona nchini Tanzania zitakazoambatana...
Back
Top Bottom