Hivi kuna Mtanzania ambaye hadi leo hii anapata shida kuielewa kwa haraka hii Misamiati Miwili mipya ya sasa?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Mmeshakuwa Watu wazima sasa na siyo kila Kitu hadi mtafuniwe na muwekwe wazi bali mkibahatika tu kukutana na hii Misamiati mikubwa Miwili iliyoanza Kuzoeleka na Kutumika kuwahabarisha Watanzania kuhusu Kifo cha Marehemu au Sababu ya Kifo chake tafadhali hebu muwe mnaelewa haraka.

Misamiati yenyewe ni hii Miwili.....

1. Kifo cha Marehemu kimesababishwa na Kubanwa na Mbavu

2. Utaratibu ni kwamba Marehemu atazikwa na Watu wasiozidi Kumi ( 10 ) tu

Na ukiwa ni Mtu makini sana ukishasikia Kubawa Mbavu halafu hapo hapo sijui Watu wasizidi Kumi ( 10 ) jua tayari Mchina Mkorofi wa Wuhan aitwae Koovidae Chechen Lee Yung aliyezaliwa Mwezi Disemba ( December ) mwaka 2019 ameshafanya yake zamani sana tu.
 
Hawatoki mbal na apo yaan unakufa na ugonjwa wa moyo unazikwa ki-covid covid watu 10- Wanamaanisa nn?....

Na nyie Watanzania mmezidi sana Umbeya, Udaku na Udadisi hivyo sasa wameamua kuwapeni hiyo Misamiati Miwili mkome.
 
Mkuu omba asikufume ww au jamaa yako wa karibu mimi mkata tiketi wangu imemfuma na nijirani acha tu yani mungu apitishe mbali huu ugonjwa tu

Ndugu kumbe na Wewe Mtoto Mkorofi wa Kichina Koovidae Chechen Lee Yung ameacha Madhara na Majanga Kwako hii leo?
 
Back
Top Bottom