Rais Paul Kagame awakemea vikali Marais wa Afrika wasiowajibika kuzuia janga hatari la ugonjwa wa Corona

Status
Not open for further replies.

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30

Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili, wanatembea na Biblia na msahafu, na wengine wanajiita mapasta.

Uchaguzi wa Burundi 2020: Kwa nini Rwanda na Burundi zimekuwa maadui wakubwa? - BBC News Swahili

=====
Facts!

Habari ilikuwa inazungumzia lawama za Rwanda kwa Burundi kuhusu mauaji ya Kimbari ya 1994
 
Jiwe muoga, hawezi mjibu Kagame angekuwa Mbowe kesho angetumbua na kuteua mtu apate pa kumjibia.
 
IMG_20200516_182522.jpg
 
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Apambane na hali yake .Yeye alizoea kusafiri Sana kutwa yuko ulaya na marekani corona imemshikisha adabu amewekwa l downtown kwa nguvu

Hasira zake za kukosa safari za nje alizokuwa akienda kuzurura nje
na familia yake asihamishisiee kwa mcha Mungu wetu Magufuli

Kama alizoea hata akikohoa anaenda ulaya kutibiwa corona imemthibiti ale mitishamba au dawa ya Madagascar nje hakuendeki

Kafunga makanisa zaidi ya 500 kabla ya corona Halafu karudia Tena kufungia watu wasisali makanisa yote Mungu kajibu maombi corona iendelee tuone kama atatbiwa nje watu Kama Kagame watatibiwa wapi Kama hawajakatika

Corona inamshugulikia kikamilifu akome Mungiu hadhihakiwi Mimi humu jamii forums nilipost kumpinga kitendo chake Cha kufunga makanisa akitaka viongozi wa Kanisa wawe na digrii nikasema wazi atakoma

Sasa kaanza kukoma hospital alizokuwa akienda ulaya na marekani haendi corona imemwambia stop.

Akome kuhamishia lawama kwa Magufuli Kama ndie alimaanisha

Mungu hadhihakiwi na ajiandae
 
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Ambatanisha mahojiano Chief Kabikula
 
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Uzushi huo
Hata evidence huna
 
Dongo kwa Magufuli kabisa hili.
 
kwa kupewa mkopo wa usd 1b unategemea atasema nini?huo ni mkopo sio msaada kumbuka.
 
Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
weka ushahidi video itakuwa bora zaidi
 
Status
Not open for further replies.
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom