ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AFRICAN POWER

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu haki za mtoa taarifa ya uhalifu

    Habari za leo wana JF wenzangu. Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa kuwa fulani yupo hivi na vile ndiye aliyetoa taarifa hizi kuwa wewe fulani ni mhalifu. Je, mtoa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  3. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Baadhi ya ndoto ni njia ya mawasiliano ya kiroho. Kila ndoto huwa na maana au tafsiri yake ambayo ni muhimu kuifahamu. Maono mazuri ya ndoto ya mtu mwema ni sehemu ya arobaini na sita ya ufunuo au bishara, au Wahyi. Ndoto ni njia ya mawasiliano iliyobakia baina ya mambo ya Kiroho na...
  4. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi please!

    Kuna kozi mpya inaitwa BACHELOR DEGREE IN AGRIBUSINESS MANAGEMENT AND TECHNOLOGY pale MUST mwenye uelewa anisaidie
  5. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Bsc. in Urban and Regional Planning ila kada yangu ni Ualimu - nifanye nini?

    Nataka kusoma kozi ya bachelor of science in urban and regional planning kada yangu ni mwalimu nifanyeje? Nimepata kibali cha kwenda kusoma. Nisaidieni.
  6. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi please

    Nisaidieni kozi nzuri ya education tafadhari
  7. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi iliposema elimu bila ada kwa kidato cha tano, Mbona bado walimu hawajapelekewa fedha wala barua kuhusu jambo hili?

    Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu hakipo sawa. Wakati serikali ikitangaza hili jambo wanafunzi wanaokwenda kuanza form five mwaka huu...
  8. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kwanini Habib Kyombo amevaa jezi ya DTB FC badala ya Singida Big Stars?

    Watu wa Soka, Juzi Jumanne 21/06/2022 saa 7:00 mchana tulimtambulisha rasmi mchezaji wetu mpya Habib Haji Kyombo ambaye tumemsajili kuja kuongeza nguvu kwenye safu yetu ya ushambuliaji. Kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii (@singidabsfc) tulichapisha baadhi ya picha zake akiwa anasaini...
  9. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Degree ipi ya ualimu ni nzuri?

    KOZI nzuri za education mnisaidieni
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

    Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry? Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi. Sasa...
  11. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya Agricultural economics and agribusiness inahusu nini?

    Kuna kozi pale SUA inaitwa agricultural economics and agribusiness, hii inahusu nini na fursa zake ni zipi?
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mtu anatolea Ufafanuzi 'Dhambi' fulani iliyotendwa nao huku kavalia Miwani 'myeusi' jua ni 'Muongo' sana

    Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Afisa Hesabu Daraja la II (Account Officer II)

    Naomba ufafanuzi kuhusu sifa Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bilioni 20 ambazo Mo aliwapa Simba kama Endowment Fund zinahitaji ufafanuzi

    Kwa ninavyoelewa, endowment fund huwa zinatolewa na matajiri kama msaada. Yaani hiyo pesa inawekezwa na faida anapewa yule mnufaika wa msaada. Lengo huwa na mnufaika kuwa na pato endelevu. Sasa hiyo 20 ya Mo ilikuwa ni msaada wa Mo kwa Simba au ni kitu gani hasa?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi tafadhali juu ya kurejeshwa upya kazini

    Wadau habarini! nimepata barua jana toka utumishi; wamenipa check namba na kunishauri niombe sekretarieti ya ajira au taasisi yoyote inayohusika na ajira serikalini ili waweze kunipangia kazi kulingana na mahitaji yaliyopo. Swali je watakuwa na connection gani ya kutambua kwamba nimeomba? ili...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu muda wa sensa

    Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika? Natanguliza Shukrani Ahsante #IjumaaKareem
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  20. Riz king

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya hili la ajira za afya Tamisemi

    Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number...
Back
Top Bottom