Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya.
Kinachotakiwa kufanyika...
Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya.
Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali
TAARIFA
Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote.
Je, hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu.
6000 ni ndogo kwa mtu...
Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
Take home msg ni hii:
1. Job Ndugai asilaumiwe
2. Tulia Ackson asilaumiwe
3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais.
Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
Habari!
Inafika wakati unajiuliza nchi hii ni Serikali kamili na Ina uongozi kamili?
Una fedha bank unataka upate huduma mahali kupitia simu unaweka codes mfano *150*03# au *150*66# unabonyeza ok unaambiwa utakatwa pesa kwenye Salio la kawaida.
Je, nikitaka kununua Salio (airtime) niweke salio...
Naamini umeona taarifa mbalimbali mitandaoni kuhusu kubadilika utaratibu wa Bima za Taifa za Afya.
Tunaomba ufafanuzi wa Wizara tafadhali kwa sababu mjadala unaoendelea mitandaoni hauna afya kwa Taifa.
Nawasilisha.
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri Mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu[emoji120]
*📸DKT. SAMIZI ATOA UFAFANUZI JIMBONI KUHUSU MWANAUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA NA NAMNA ATAKAVYOHESABIWA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi akitoa elimu ya Sensa kwa Wananchi wake Jimboni Muhambwe.
Kwenye ziara hii, Dkt. Samizi ameendelea na ziara yake...
Hamjamboni nyote?
Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.
Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi.
Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa buku tu kwa siku. Kwa maisha haya hiyo elfu moja inamaana gani?
Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti...
Maono mazuri ya ndoto ya mtu mwema ni sehemu ya arobaini na sita ya ufunuo au bishara, au Wahyi. Ndoto ni njia ya mawasiliano iliyobakia baina ya mambo ya Kiroho na mwanaadamu.
Baadhi ya ndoto ni njia ya mawasiliano ya kiroho. Kila ndoto huwa na maana au tafsiri yake ambayo ni muhimu kuifahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.