Juicy J
Member
- Apr 11, 2022
- 8
- 1
Habari za wakati huu wadau, natumaini muwazima wa afya. Kwa wale tunaoendelea na kutuma maombi Mungu atusaidie sana.
Kuna mkanganyiko kidogo nimeupata kutoka kwa hawa TAMISEMI. Katika page yao ya Instagram waliopost tangazo la ajira kuna mdau aliuliza swali kuhusiana na vyeti kama vinatakiwa viscaniwe original ama copy zake zikiwa na muhuri wa mwanasheria
Sasa jamani, hapo tunatumia copy ambazo ni certified na mwanasheria au tunascan vyeti original kabisa maana kwenye tangazo lao hawajafafanua kuhusiana na hilo Ila wameenda kulieleza Instagram. Tusaidiane wakuu, naamini wapo wajuao kwa undani juu ya hili.
NB: Ni Mara yangu ya kwanza kuapply