ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juicy J

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ufafanuzi kwenye viambatanisho vya maombi ya ajira 2022

    Habari za wakati huu wadau, natumaini muwazima wa afya. Kwa wale tunaoendelea na kutuma maombi Mungu atusaidie sana. Kuna mkanganyiko kidogo nimeupata kutoka kwa hawa TAMISEMI. Katika page yao ya Instagram waliopost tangazo la ajira kuna mdau aliuliza swali kuhusiana na vyeti kama vinatakiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

    Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naomba ufafanuzi aliyefufuliwa baada ya kuwa amekufa kwa muda wa miaka Mia?

    Ndugu zangu nyote hamjamboni? Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe Mungu awabariki Sana ✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Namba ya NIDA ufafanuzi

    19XX-AXAY-BBCDE-0000X-YY ufafanuzi: 19XX=mwaka wa kuzaliwa AX= mwezi wa kuzaliwa AY= tarehe ya kuzaliwa BBCDE=post code ya kata ulikojiandikishia 0000X= ni nini? YY= ni nini?
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa katika Vituo vya Afya, Zahanati nchini Tanzania

    TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa zinazotumika katika vituo vya afya
  10. Matope

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  11. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

    Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!! Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

    GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu...
  14. Bill

    JamiiForums Tanzania Ni kwasababu gani mechi ya coastal union na yanga imesitishwa 16/1/2022,??

    Hii mechi ilipangwa Jumapili Mkwakwani Stadium Tanga lakini imeahirishwa. Je nini hakijaenda kama ilivyopangwa? GENTAMYCINE ufafanuzi tafadhali.
  15. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

    Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo. 1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

    Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu. Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi. Hii inaonyesha hakuna...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  18. Memento

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji. Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
  20. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha

    Habari wana JF? Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi Ahsante!🙏
Back
Top Bottom