Wapendwa naomba ufafanuzi aliyefufuliwa baada ya kuwa amekufa kwa muda wa miaka Mia?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,202
4,673
Ndugu zangu nyote hamjamboni?

Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake

Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe

Mungu awabariki Sana

✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?

*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?

*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?

*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake

*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?

Karibuni tujadili
 
mambo ya Dini wakati mwingine ukitaka baadhi ya facts hutozipata au huwezi kuzipata humu japo huenda zipo
nimesoma Islamic seminary na kuna siku sheikh katuambia (katika somo la islamic knowledge) kuna wakati mtume Muhammad alipelekwa na mwenyezi Mungu Mbinguni ila safari ile ilimchukua muda mchache kufika japo ki uhalisia ilipaswa kutumia miaka mingi sana (kama 20 hivi) nakumbuka pia kama sikosei tuliambiwa Mtume aliweza ku time travel so kuna hadithi kama aliona ya mbele huko
pia humu kuna watu walileta uchambuzi based on Quran ni kwamba Dunia ipo karibu kuisha maana walipiga calculations kwa kufuata kauli ya Mungu alisema kwamba haitofika miaka fulani kabla ya kiama kufika.huo uzi upo humu walihitimisha imebaki kama miaka 100 hivi
 
Husianisha na hii ya biblia

Ezekieli 37:1-15 BHN

Mimi Ezekieli nilikumbwa na uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu, naye akaninyanyua kwa roho yake na kuniweka katika bonde lililokuwa limejaa mifupa. Basi, akanitembeza kila mahali bondeni humo. Kulikuwa na mifupa mingi sana katika bonde lile, nayo ilikuwa mikavu kabisa. Mwenyezi-Mungu akaniuliza, “Wewe mtu! Je, mifupa hii yaweza kuishi tena?” Nami nikamjibu, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, wewe wajua!” Naye akaniambia, “Toa unabii juu ya mifupa hii. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu. Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi. Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.” Basi, nikatoa unabii kama nilivyoamriwa. Nilipokuwa nikitoa unabii, kukatokea kelele kama ya mkwaruzo na ile mifupa ikaanza kusogeleana na kuungana. Nilitazama, nikaona ile mifupa imewekewa mishipa na nyama na kufunikwa kwa ngozi. Lakini haikuwa na uhai. Hapo, Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Ewe mtu, kwa niaba yangu toa unabii kwa upepo, ukauambie kwamba Bwana Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Ewe upepo njoo toka pande zote nne na kuipuliza miili hii iliyokufa ili ipate kuishi.” Basi, mimi nikatoa unabii kama alivyoniamuru, nayo pumzi ikaingia ndani yao, nayo ikawa hai, ikasimama: Kundi kubwa ajabu. Hapo Mwenyezi-Mungu akaniambia: “Wewe mtu! Mifupa hiyo ni watu wote wa Israeli. Wao, wanasema, ‘Mifupa yetu imenyauka, matumaini yetu yamepotea nasi tumekwisha kabisa.’ Kwa hiyo, toa unabii, uwaambie, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitawarudisha nyumbani kwenu katika nchi ya Israeli. Nanyi, enyi watu wangu, mtatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu nitakapofunua makaburi yenu na kuwafufua kutoka makaburini mwenu. Nitatia roho yangu ndani yenu, nanyi mtaishi, nami nitawaweka katika nchi yenu wenyewe. Hapo mtatambua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu nimesema, nami nitafanya hayo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
 
Huyo mtu alikuwa anaitwa uzeil.
Ni myahudi
Kuna siku alikuwa anapita kwenye mji wenye magofu akashangaa na kujiuliza mungu ATAWEZA kuufufua huu mji ukawa Kama zamani
Ndipo mungu alipomuonesha huo muujiza
Alipoamka umri wake ulikuwa ule ule.
Aliporudi kwao watu walipomuona wakasema uzeil ni *mwana wa mungu"
 
Ukisoma sana hesabu ndio madhara yake haya! Unaweza usijue hela ya kula utapata wapi ila ukataka kujua umri wa mtu ambae hakuchangia katika ukuaji wako...Wazungu wametuweza kwa kweli
 
Ndugu zangu nyote hamjamboni?

Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake

Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe

Mungu awabariki Sana

✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?

*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?

*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?

*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake

*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?

Karibuni tujadili
Nenda kasome katika Tafsir ya Imam Ibn Kathir akielezea aya hiyo. Mtu huyo alikuwa ni Uzayr, na mji ulikuwa ni Jerusalem. Mengine utayakuta humo kwa ajili ya kupata faida.

Jinsia ni wa kiume.

Maswali mengine uliyo uliza naona hayana maana yoyote ya msingi, kwa maana kujibiwa kwake na kutokujibiwa kwake hakubatilishi habari husika.

Shukrani.
 
Tukikwambia tu wew ututajie jina la Bibi yako mzaa bibi yako utatupiga kiswahili hapa.

Anyway subiri majibu
 
Ndugu zangu nyote hamjamboni?

Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake

Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe

Mungu awabariki Sana

✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?

*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?

*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?

*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake

*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?

Karibuni tujadili
alikuwa anaitwa Uzaili, nadhani Kama sijakosea
 
Sawa,dini Ni hiyo yenu ya mazezeta ambao mnatapeliwa kiwepesi wepesi kila uchao,,

Yaani ukitaka kupiga hela sasaivi we jifanye nabii,utakula hela za wakristo Hadi utajirike,angalia mfano yule bishoo anaitwa Nabii shillah, au billionaire shilla,eti nae ana waumini na wanamkubari haswaa,

Aisee hizi dini zingine zimejaa mandondocha
  • Alie anzisha uzezeta wa kutapeli watu kiwepesi wepesi huyu hapa, aliwapiga pesa mpaka waumini wakaacha kwenda kumuona maana pesa ulikuwa unatanguliza kwanza
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
  • Walivyolalama waumini maskini, wakaacha kwenda kwa muhammad kwa sababu ya hitaji la kutanguliza pesa kwanza
    • 58:3 Tafsîr Ibn ‘Abbâs When they stopped speaking with Muhammad (pbuh) because of the required almsgiving involved
  • Allah akasema watoe sadaka kwanza, kama hamwezi hakuna huduma ya sirini na muhammad, Inabidi ushike sala na utoe zaka, na akasema anazo khabari wa wanayotenda (kama wanapesa na wanazificha)
    • Koran 58:13. Mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu? Ikiwa hamkufanya hayo, na Allah akapokea toba yenu, basi shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Allah na Muhammad. Na Allah anazo khabari za mnayo yatenda.
 
Wai kwa Mwamposa ukatoe sadaka ya kujimaliza dada, mkishakamuliwa hiyo sadaka ya kujimaliza kwa Mwamposa,huwa manatangatanga kuomba lift kwenye vipando vyetu, na tunaishia kuwavua chupi
 
Usipaniki
Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
 
Ndugu zangu nyote hamjamboni?

Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake

Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe

Mungu awabariki Sana

✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?

*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?

*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?

*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake

*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?

Karibuni tujadili
Koran haitaweza kujibu maswali yako , inabidi uingie kwenye maelezo ya pembeni
Ingia hapa
 
"Juma na swalehe hawampendi wille na Charle wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele "

Tusidharauliane kwasababu ya dini huo ni ujinga hizi dini tumerithi kuna watu sio wastaarabu kabisa mda wote wanawaza matusi tu.
 
  • Alie anzisha uzezeta wa kutapeli watu kiwepesi wepesi huyu hapa, aliwapiga pesa mpaka waumini wakaacha kwenda kumuona maana pesa ulikuwa unatanguliza kwanza
    • Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....
  • Walivyolalama waumini maskini, wakaacha kwenda kwa muhammad kwa sababu ya hitaji la kutanguliza pesa kwanza
    • 58:3 Tafsîr Ibn ‘Abbâs When they stopped speaking with Muhammad (pbuh) because of the required almsgiving involved
  • Allah akasema watoe sadaka kwanza, kama hamwezi hakuna huduma ya sirini na muhammad, Inabidi ushike sala na utoe zaka, na akasema anazo khabari wa wanayotenda (kama wanapesa na wanazificha)
    • Koran 58:13. Mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu? Ikiwa hamkufanya hayo, na Allah akapokea toba yenu, basi shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Allah na Muhammad. Na Allah anazo khabari za mnayo yatenda.
We mokiti mpuuzi kweli .kwahiyo zumaridi na shillah ndio unawafananisha na hizo aya hapo juu????
 
Ndugu zangu nyote hamjamboni?

Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake

Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe

Mungu awabariki Sana

✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza: Je umekaa muda gani? Akajibu: Labda nimekaa siku moja au sehemu ya siku. Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako. Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake jinsi tunavyo inyanyua kisha tunaivisha nyama. Basi yalipo mbainikia alinena: Najua kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu.

*Naomba jina la huyo aliyekufa na kisha akafufuliwa?

*Je huyo Mtu aliuliwa Mwaka Gani na alifufuliwa Mwaka Gani ili kupata JUMLA ya Miaka 100 aliyokaa kaburini?

*Je huyo Mtu alikuwa jinsia gani?

*Naomba jina la Mji alipokuwa ANAKAA na Jina la Baba na Babu yake

*Iko wapi Aya ama Hadithi alipokufa tena huyu mtu baada ya kufufuliwa ama wapi alienda Mbinguni baada ya kufufuliwa?

Karibuni tujadili
Ni Yahya Alayhi salaam.
 
Back
Top Bottom