ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kupunguzwa kwa vifurushi (bundles)

    Nyie Watanzania ni mambumbumbu sana, hivi mnajua bundles ni ofa, wao wanatakiwa wakuuzie wewe vocha tu uweke utumie kama mwanzo mitandao ilivyoanza. Sasa unajua maana ya ofa? Ofa kupata au kunyimwa, huna uhalali wa kudai. Kuna watu wanamlaumu Nape wanakosea sana.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi matumizi ya Milioni 480 kutangaza matokeo ya Sensa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani(CCM), Subira Mgalu amesema madai ya kuwa Serikali imetumia Shilingi Milioni 480 kwa ajili ya kutangaza matokeo ya Sensa haina ukweli wowote. Subira Mgalu amesema Serikali pengine itatolea ufafanuzi suala hilo huku akiwataka wananchi kuwa na subra.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

    Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala Mhe. Zitto Kabwe yuko mubashara kipindi cha Kipima Joto ITV. SWALI: Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Demokrasia ya Vyama Vingi. Je, imejibu matarajio ya wananchi? Karibu! ======= Zitto Kabwe Kwa mazingira ya Tanzania, mchakato wowote hauwezi kumkwepa...
  4. desmond3076

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi ndugu wanasheria

    Ndugu wanasheria salaam, Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili, Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
  5. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Na Jumakilumbi, 15.10.2022 Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za ajira nchini ni zipi ukiacha sekretarieti ya ajira?

    Habari naomba kufahamu mamlaka za ajira nchini ni zipi ukiacha sekretarieti ya ajira?
  8. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Wanajukwaa: Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Taasisi zote zinatakiwa kutoa taarifa kwa wananchi na kutoa ufafanuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu bachelor in human resources managenent na labour relation na public management

    Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au nibaki na hiyo niliochaguliwa
  11. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Kati kozi ya bachelor of education in psychology na bachelor of science in economics project planning and management ipi ni nzuri?

    Kati kozi ya bachelor of education in psychology na bachelor of science in economics project planning and management ipi ni nzuri? Naomba msaada wa ufafanuzi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095. Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
  13. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

    Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni. Sasa swali la...
  15. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Nataka kufunga mita yangu ya luku dukani nijitenge na wengine, naombeni ufafanuzi na gharama

    Wakuu heshima kwenu. Naombeni ufafanuzi na maelekezo ya kufata Ili kufunga MITA ya luku inayojitegemea. Je hatua gani za kufata? Vitu gani vinahitajika? Gharama ya mchakato mzima ikoje?? Asanteni sana. TANESCO
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tozo sijaelewa zaidi ya kumung'unya maneno

    Salama wandugu Nimemsikiliza Mwigulu akijieleza kuhusu tozo hakuna cha maana anachoeleza zaidi ya kumung'unya maneno tulishasema ondoeni tozo siyo kuilemba lemba na kuipaka wanja ionekane kama asali wakati ni pilipili,kodi zilizopo zinatosha kuendesha nchi ila nyie mnacheka na wafanyabiashara...
  17. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi hii Solidarity Fund ya Ndugu yetu Mwigulu!

    Wakati bado waziri wetu wa fedha anaendelea kutapa tapa kwa vigugumizi akielezea mambo ambayo naamini hata yeye mwenyewe moyoni mwake anajua anatekeleza wajibu tu na si ukweli, tunaambiwa ni namna ya watu wengi, wananchi washiriki kwenye kuchangia SOLIDARITY FUND! - hebu nisaidieni ufafanuzi wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

    Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri! Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Pango: TRA yatoa ufafanuzi kuhusiana na kodi ya pango

Back
Top Bottom