Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.
Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiinuliwa na Mungu hakuna awezaye kukushusha na kukuvuta nyuma. Hakuna mwanadamu awezaye kuondoa kibali apewacho Mwanadamu kutoka kwa Mungu. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu na huwezi kushindana naye hata kidogo. Rais Samia Ni Mbarikiwa na Mwenye Neema ya Mungu Ndani yake ...
Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la Premium Times la nchini humo, kiongozi huyo atatunukiwa shahada hiyo wakati wa...
Wadau wa Kiswahili wanaweza kunielewa kwa nini nauliza hivi.
Mrisho mpoto na Mboso katika kazi ya sanaa wanakuza na kuendeleza Kiswahili kwa kasi yenye ubunifu wa hali ya juu.
Watu kama hawa ili waibukeni wengine lazima kuwa na nafasi ya kutambua mchango wao hasa wa kupewa degree yao ya...
Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika.
Diana ambaye ndiye mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo hizo maarufu Consumer Choice Awards...
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe limekuwa likijulikana sana, hususan kutokana na mchango wake katika kuendeleza demokrasia na haki za binadamu nchini. Hata hivyo, licha ya mchango huu, vyuo vikuu nchini havijachukua hatua ya kumpatia Mbowe Shahada ya Udaktari wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R.
https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared
Rais wa Jamhuri...
Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja.
Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea...
Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo.
Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya.
Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa...
Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya.
Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa...
Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani.
Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.