Dakika 40 kumjadili Babu Tale ni matumizi mabaya ya nafasi za ubunge

Makonyeza

Member
Feb 2, 2020
69
252
Athari za kuwa na bunge la upande mmoja yaani wabunge wenye itikadi ya upande mmoja inazidi kutuathiri kama taifa, na laana zimshukie aliyeyasababisha haya.

Taifa letu lina matatizo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na kupatiwa ufumbuzi na wawakilishi wetu pale penye mkusanyiko wetu wa taifa Bungeni Dodoma. Ni bahati mbaya sana, muda wa bunge kutokana na bajeti na mambo mengine unakuwa ni mdogo kuweza kuyajadili yote, na ndiyo sababu baadhi ya hoja huwekwa viporo kusubiri vikao vijavyo vya bunge.

Utatarajia wabunge kutumia muda mfupi wa vikao kuibua na kujadili masuala ya msingi yenye athari kwa taifa kuliko kujadili Babu Tale na udaktari wake wa heshima aliopewa.

Binafsi sina shaka na mchango wa Babu Tale kwenye tasnia ya Muziki na kwa sababu hiyo wala sijastaajabu kupewa zawadi ya udaktari wa heshima tena ikisemwa wazi kwamba ni kutokana na mchango wako mkubwa kwenye muziki wa Tanzania.

Sasa inawezekana wabunge wetu baadhi hawafuatilii muziki wala hawajui nini kinaendelea kwenye kiwanda hicho. Mbunge anasahau matatizo ya maji, afya na barabara jimboni kwake anainuka anahoji zawadi aliyopewa Babu Tale kwa mchango wako kwenye muziki, hii ni matumizi mabaya kabisa ya fursa ya kuwa bungeni na zaidi inathibitisha wivu na husada kwa mambo ya watu.

Udaktari wa Heshima wala haihitaji kalamu na karatasi kuupata, zaidi ni wewe kufanya juhudi kwenye unachokifanya na waungwana wakikuona watakupa tu.

Na hii kwa kasumba imeonekana wenye kustahiki ni wanasiasa wakubwa au inawezekana wanaohoji walitamani kuhoji tangu wanasiasa wakubwa waliyopewa hizo heshima lakini wakishindwa kuhoji kwa sababu ya uwoga wa kinafiki na sasa wanamtoa kafara Babu Tale kuhoji na kushauri eti vyuo vinavyotoa hizo heshima wazingatie vigezo.

Kwani Kuna mwenye mashaka na mchango wa Babu Tale kwenye muziki? Au Kuna mwenye mashaka na heshima aliyopewa Kikwete au Rais Samia?

Tunahitaji suluhu ya mfumuko wa bei, changamoto za maji, afya, elimu, chakula na kilimo na zingine kuliko kujua kwanini Babu Tale aitwe Dr. Tale tale.

Kama tatizo ni kuitwa Dr. hata Chuo kisipokupa heshima hiyo unaweza hata kujipa mwenye au kupewa na Jamii inayokuzunguka kama ilivyokuwa kwa akina Dr. Remmy, Dr/Profesa. Maji Marefu, Dr. Manyaunyau au leo Kuna Dr. Kumbuka pia.

Achana na yule Dr. Love Pimbi wa vibonzo.

Chonde wabunge tuna mengi ya msingi yanahitaji brain yenu.

_20230211_105707.JPG
 
Sa si ndio ilikuwa namna ya kusongeza muda wa ‘kuhairishia’ bunge!. Ingefanyikaje unadhani mdau? Watu wana kazi zao pale. Na ndio hizi wanazitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
 
View attachment 2513480
Aliefanikisha uwepo wa wabunge tulionao sasa kiukwel ametukosea watanzania!!
 
Kama huoni tatitzo la madakatari feki basi wewe ndio kirusi kikubwa.Anejua mchango wa Babu Tale ni Diamond tu
 
Back
Top Bottom