Lini Vyuo Vikuu vya Tanzania vitafikiria kumpa Udaktari wa Heshima Freeman Mbowe?

Vmatongo

Senior Member
Dec 8, 2021
156
239
Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani.

Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili heshima hiyo!

Kwenye uongozi wake amewainua vijana wengi sana kutoka kuwa wa kawaida mpaka kuwa viongozi wakubwa.

Nitawataja wachache.
David Kafulila.
Zitto Kabwe.
John Mnyika.
Heche!
Halima Mdee.
Na wengine wengi.

Amekifanya CHADEMA kuwa na idadi kubwa ya wabunge toka ameingia ukiweka kando kwenye kipindi cha utawala wa Jpm lakini bado chadema kina uzoefu wa kuongoza halmashauri mbali mbali hizi ni baadhi ya sifa za Chadema ambazo zimetokea kwenye uongozi wake.

Ni sifa gani mnataka zingine nje ya hizi ambazo Mh Mbowe hana kama akina msukuma wamepata heshima hizo kimchongo tunataka sasa mumpe mtu genuine mwenye uwezo.
 
The Genius Mbowe!
Sisi tunamtambua kama Hon. Dkt Freeman Haikael Mbowe, though hawataki kumpa udaktari wa heshima kwa vile ana mawazo mbadala ila mwamba ni akili kubwa
 
Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani.

Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili heshima hiyo!

Kwenye uongozi wake amewainua vijana wengi sana kutoka kuwa wa kawaida mpaka kuwa viongozi wakubwa.

Nitawataja wachache.
David Kafulila.
Zitto Kabwe.
John Mnyika.
Heche!
Halima Mdee.
Na wengine wengi.

Amekifanya CHADEMA kuwa na idadi kubwa ya wabunge toka ameingia ukiweka kando kwenye kipindi cha utawala wa Jpm lakini bado chadema kina uzoefu wa kuongoza halmashauri mbali mbali hizi ni baadhi ya sifa za Chadema ambazo zimetokea kwenye uongozi wake.

Ni sifa gani mnataka zingine nje ya hizi ambazo Mh Mbowe hana kama akina msukuma wamepata heshima hizo kimchongo tunataka sasa mumpe mtu genuine mwenye uwezo.
Mbowe ni fundi wa siasa za Tanzania.
 
Akipata cheo kikubwa chenye nguvu serikalini utashangaa watakavyogombania kumpa udaktari na ugeni rasmi wa mahafari yao
 
wala wasifikirie kumpa maana hizo piihechidii za mchongo zimeshakosa thamani kabisaaaa, imagine mtu hata lasaba hajamaliza anapewa piihechidii sijui ya takataka gani , kimsingi hazina maana eti dokta babu tale sijui dokta musukuma loh aibu sana.
 
Back
Top Bottom