Rais Samia atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,971
12,291
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R.

View: https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared

GLcJ4UcWwAApA9m.jpeg

GLcJ4hJXIAA1zj3.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
GLcKiNlWwAIylzA.jpeg

Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wageni, viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Kikuu Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo.

PIA SOMA:
- Mama Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

- Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

- Rais Samia ashiriki Mahafali ya 52 Duru ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Atunukiwa Shahada ya Heshima

- Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru chamtunuku Rais Samia Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa), leo Oktoba 10, 2023

- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024.
 
Ni jambo jema 😄

Yesu alisema " mama Tazama mwanao, Mwana Tazama mama yako"

Hiyo ndio Uturuki 😄😄🌹
 
Hivi matukio na matatizo na ajari zinazotokea hapa bongo kweli kiongozi anapata mda wa kwenda kupokea udaktali wa ofa R.I.P JPM japo ulikua na majibu magumu kwa wahanga lakini ulikua unaenda kuwaona na kuwaambia wakomae hakuna cha bure
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R.

View: https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared

View attachment 2967248
View attachment 2967249
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
View attachment 2967250
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia wageni, viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Kikuu Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo.​Mama bado sana hata tume huru imemshinda bado katiba. Wangempa PHD ya utalii ndiyo amefanya vizuri mpaka sasa.
 
Napendekeza kuheshimu heshima kubwa aliyoipatia TZ, aanze kutambulishwa rasmi kwa degree zote mbili, yaani Mh. Daktari, Daktari ......
 
Back
Top Bottom