alhad mussa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad: Marekani iheshimu serikali yetu inayoendeshwa kwa misingi ya Kikatiba, wanatuonea wivu tumevuka salama na Oktoba 29

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei 26, 2026, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema; "Kwenye uchochezi wowote wa namna yoyote ile, uwe wa kidini uwe wa kisiasa hatutaukubali. Hatutaukubali kama Watanzania. Watanzania wanasimama na...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Mussa: Marekani iwakemee maseneta waliosema Tanzania si salama na baadhi ya dini zinakandamizwa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika mkutano wa Jumuiya hiyo na waandishi wa habari, Alhad ameitaka...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad: Tuwasihi Gen-Z wetu changamoto hazitatuliwi kwa uharibifu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa kulinda amani ya nchi, akisema changamoto wanazokutana nazo haziwezi kutatuliwa kwa vurugu bali kwa hekima na subira. Akizungumza...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Salum: Anayetaka damu imwagike Tanzania ni Shetani

    Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema; "Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Mussa: Maandamano hayatakuwepo na hakuna kijana wa kiislam atakayeshiriki katika maandamano

    Vijana wa Kiislamu mmesikia huko na mnalipi la kumwambia? =============== Vijana wa Kitanzania awawezi kujiingiza katika jambo kama hili la maandamano likawasababishia madhara, maadhara ambayo uyapigii dini yako, kujitia kilema au ukipata matatizo ni mambo ambayo ayakubaliki kwahiyo Maandamano...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Mussa: Tusiingizane mkenge, hakuna maandamano Oktoba 29, piga Kura rudi nyumbani

    "Tusiingizane mkenge, hakuna maandamano tarehe 29. Wasikuponze, wasikupotezee maisha yako, piga kura rudi nyumbani uangalie kinachoendelea. Usitafute makubwa yasiyokuhusu" — Sheikh Alhad Mussa Salum
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Sheikh Mkuu Dar Es Salaam Alhad Mussa Salum atangaza matembezi ya watu 300 kutoka Dar hadi Dodoma "kuhamasisha" amani

    Wakuu, Tutaona mengi mwaka huu Amani nayo inatakiwa "kuhamasishwa"? Who is funding this? =================== Takribani watu 300 wanatarajiwa kushiriki matembezi ya hiari ya kilomita 452 kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, wakidai kuhamasisha amani na maridhiano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia za Sheikh Alhad Mussa Dua zake huwa ni kinyume. Msimsikilize

    Aliwahi mwombea Mangi Kimangi kuwa atakufa. Yule dada mpaka leo anadunda tu na anatengeneza pesa. Yaani badala ya kumlaani ndo akambariki. Huyu Sheikh ubwabwa inasemekana ndo basi tena.... Akaja akamwombea Dua mbaya Afande Sele. Mpaka leo yupo tu anadunda bila noma yoyote. Nikagundua huyu...
  9. voicer

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Mussa Salum huna ubavu kuufunga mjadala huu

    Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum. Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD. Ameenda mbali na kusema...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya amani ya viongozi wa dini imfukuze sheikh Alhad Mussa, kadhihirisha hafai kwa lolote

    Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda adai Sheikh Alhad Mussa anastahili Udaktari wa Heshima

    Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo. Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka. Juzi vyombo vya...
  15. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni. ===== Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhad ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao...
Back
Top Bottom