johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,976
Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo.
Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi.
Museveni amesema kwa sasa anajitafakari upya ili aweze kuondoa zuio la wananchi kutembea usiku.
Maendeleo hayana vyama!