BoT: Coronavirus imeathiri uchumi wa Tanzania tangu Machi

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Katika ripoti ya uchumi iliyotolewa na Benki Kuu ikionyesha hali ya uchumi kwa mwaka ulioisha mwezi wa Aprili imeonyesha kuwa #COVID19 imesababisha uchumi kufanya vibaya

Ripoti imesema #COVID19 imeharibu ualishaji na uhitaji (Supply and Demand) kutokana na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa na ili kuzuia maambukizi kuenea kwa kasi

Madhara ya #CoronaVirus yalianza kunekana mwezi Machi, kwa kwa mwezi Februari uchumi ulikuwa vizuri kwa kuwa nchi nyingi ambazo zinashirikiana kibiashara na Tanzania hazikuweka hatua ngumu za kuzuia #COVID19.

Aidha Benki ya Dunia ilitabiri ukuaji wa uchumi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 2.5%. Aidha, imetabiri watu 500,000 zaidi wataingia katika kundi la umasikini

2020-06-09.png
 
Back
Top Bottom