Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video mbili part 1 inayohusu jinsi ya kutafsiri hardcopy na part 2 inayohusu kutafsiri softcopy kwa Tshs...
Tunaelekea kuufunga mwaka wa 2020 na panapo majaliwa itakuwa heri kwetu kuuona mwaka 2021. Miezi hii ya mwisho wa mwaka huwa ni wakati mzuri wa tafakari ya wapi tumefanikiwa mwaka huu.
Kama nchi, Tanzania ina mambo mengi ya kujivunia mwaka huu na mojawapo ni lile la kuingia katika kundi la nchi...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amewataka wafanyabiashara kuuza cement kwa bei iliyowekwa na serikali vingiinevyo watashughulikiwa kisheria.
Mambosasa amesema jiji la Dar es Salaam lina cement ya kutosha hivyo...
Hizi ni estimates za upotevu wa mapato kwenye shughuli za kiuchumi kwa sekta zote kutokana na ufungwaji wa mitandao ya kijamii.
Waathirika ni wote hakuna alieachwa, makampuni ya simu, serikali na wadau wote.
MADHARA YA KUCHAGUA VYAMA VIPYA NA MAWANDA YA DEMOKRASIA.
Na Elius Ndabila
Zikiwa zimebaki siku chache watanzania kuamua aina ya uongozi wanaoutaka, basi ninaomba nitumie fursa kuwakumbusha jambo moja kubwa wapiga kura kabla hawajaenda kupiga kura tr 28/10/2020. Jambo hilo ni Madhara ya...
Mheshimiwa kwanza pole kwa uchovu wa safari za kampeni. Napenda kukupongeza kwa elimu mujarabu unayoitoa kwa wananchi jinsi ya kujitambua na kusimamia haki zao.
Nampenda kukuomba uongeze hizi spana mbili ambazo zimekumpatiwa na serikali ya CCM Ila kiuhalisia Zina athali kubwa kwa watanzania hasa...
Salaam wana JF.
Nianze andiko hili kwa kusema kuwa ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi wa mwaka huu utatokana na nguzo imara za "Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi, haki na Amani ya Nchi, hizi ndizo hoja za msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani wala si...
MSHITAKIWA katika shauri namba 11/2018 ya uhujumu uchumi na makosa ya kupanga Omari Bokoi amehukumiwa kulipa faini ya Sh Mil 333 au kwenda jela miaka 20 baada ya mahakama ya wilaya ya Same ,mkoani Kilimanjaro kumkuta na hatia ya kupatikana na vipande vya nyama ya Twiga.
Hakimu Mkazi wa...
Nawasalimu wana JF,
Nimekuwa mfatiliaji wa karibu sana wa siasa za upande wa Tanzania Visiwani kwa maana ya Zanzibar, nimegundua falsafa na maono makubwa ya Dkt. Hussein Mwinyi juu ya mipango yake ya uendeshaji wa serikali ya SMZ katika nadharia ya "Uchumi wa watu na vitu" Nimegundua Dkt...
Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7
Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10
Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe.
NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo...
NITATUMIA ELIMU YANGU KUKUZA UCHUMI NA KUFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF. LIPUMBA"
KYELA- MBEYA
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/...
Nawaza Kwa vina na uwelewa wangu katika uchumi kila nikiangalia kesho nasikia machozi na sikia huzuni najuwa ma million ya watanzania wasio na elimu ya uchumi hawajuwi nini kitatukumbuka na kuliacha Taifa na vilio visivyo na sababu. Yes nasema visivyo na sababu maana kulikuwa na shida gani...
Habari nyingine nzuri kuhusu uchumi wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Takwimu za Benki Kuu ya Tanzana (BoT) uchumi unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.5 mwaka huu wa 2020. Habari hii inafuatia habari nyingine iliyotangazwa Julai ambapo Benki ya Dunia (WB) ilisema kuwa Tanzania imefanikiwa kuingia katika...
Jiji la Dar ndio jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania.
Kwasababu asilimia 99 ya vitu vyote vinavyo tumiwa na watanzania hadi wale wa vijijini vinatokea Dar es Salaam
1. Mafuta ya magari na bodaboda zote
2. Viatu na nguo toka nje ya nchi
3. Mafuta ya kula na taa
4. Vifaa vya ujenzi...
USHINDI MWINGINE WA TANZANIA KWENYE VITA YA UCHUMI
Na Bwanku M Bwanku
Jana Oktoba 13, 2020 Tanzania na dunia kwa ujumla ilishuhudia tukio kubwa la kihistoria na la ushindi kwa nchi ya Tanzania kwenye vita nzito ya kiuchumi. Kwenye tukio hilo, Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli...
Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro.
Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameahidi kuimarisha biashara katika mkoa wa Tanga, kufufua viwanda vilivyokufa pamoja kutoza kodi rafiki kwa wafanyabiashara ili kuinua uchumi wa nchi.
Akiongea katika mkutano wa hadhara wa kampeni mkoani Tanga Prof. Lipumba...
Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi?
Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu moja hadi nyingine kufanya biashara bia vikwazo wala shida ya kimiundombinu. Tunataka kuona uchumi wa...
Watuhumiwa watatu ambao walikuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) tayari wamefukuzwa kazi
Mtu wa nne ni mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni M/S Ntinyako Company Ltd. Iliyokuwa ikipewa zabuni ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi na miundombinu ya maji katika Bandari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.