uchumi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar ndio Jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania

    Jiji la Dar ndio jiji muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania. Kwasababu asilimia 99 ya vitu vyote vinavyo tumiwa na watanzania hadi wale wa vijijini vinatokea Dar es Salaam 1. Mafuta ya magari na bodaboda zote 2. Viatu na nguo toka nje ya nchi 3. Mafuta ya kula na taa 4. Vifaa vya ujenzi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushindi mwingine wa Tanzania kwenye vita ya uchumi

    USHINDI MWINGINE WA TANZANIA KWENYE VITA YA UCHUMI Na Bwanku M Bwanku Jana Oktoba 13, 2020 Tanzania na dunia kwa ujumla ilishuhudia tukio kubwa la kihistoria na la ushindi kwa nchi ya Tanzania kwenye vita nzito ya kiuchumi. Kwenye tukio hilo, Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro. Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Huwezi kuwa na uchumi mzuri bila ya kuwa na mfumo mzuri wa fedha

    Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameahidi kuimarisha biashara katika mkoa wa Tanga, kufufua viwanda vilivyokufa pamoja kutoza kodi rafiki kwa wafanyabiashara ili kuinua uchumi wa nchi. Akiongea katika mkutano wa hadhara wa kampeni mkoani Tanga Prof. Lipumba...
  5. ADAM SMITH

    JamiiForums Tanzania Msaada wa soft copy ya vitabu, pamhets, kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies

    Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli vs Lissu, nani yuko vizuri kuhusu Uchumi?

    Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi? Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu moja hadi nyingine kufanya biashara bia vikwazo wala shida ya kimiundombinu. Tunataka kuona uchumi wa...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwashitaki watu 4 kwa Rushwa na Uhujumu Uchumi, watatu ni waliokuwa wafanyakazi wa Bandari (TPA) pamoja na mfanyabiashara 1

    Watuhumiwa watatu ambao walikuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) tayari wamefukuzwa kazi Mtu wa nne ni mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni M/S Ntinyako Company Ltd. Iliyokuwa ikipewa zabuni ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi na miundombinu ya maji katika Bandari ya...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Sera za uchumi za Magufuli sio rafiki na haziwezeshi upatikanaji wa ajira nje ya mfumo wa Serikali

    Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake palikua na kiwanda cha kutngeneza nguo. Hicho nacho kimesimamisha uzalishaji ingawa kwa hicho sababu...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani asitisha majadala uliolenga kutafuta suluhu za kunusuru Uchumi wa nchi ambao imeathirika sana kutokana na CoronaVirus

    Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ghafla majadiliano na chama cha Demokratic juu ya mpango wa kusaidia kupunguza athari za kiuchumi zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19, na kuhamishia maamuzi yoyote kuhusu mpango huo baada ya uchaguzi wa Novemba 3. Trump ameichukuwa hatua hiyo licha ya...
  10. Naton Jr

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ateuliwa kuiongoza Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA)

    Kichwa cha habari chahusika Is this not funny? 😅😅😅😅 ============== Oct 7, 2020 (Thessherald)–The South Sudanese government has appointed an expatriate to lead the National Revenue Authority with the hope of formulating and implementing tax reforms in the country. Dr. Patrick Mugoya, is a...
  11. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

    Safal Building Systems Business Head Manish Garg demonstrates to Machakos County Deputy Governor Francis Maliti Steel coils going through profiling Surf building for pre engineered buildings Mabati Rolling Mills (MRM) Off Mombasa Road) October 1, 2020. Image: CHARLENE MALWA Mabati Rolling...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hivi bunge kama taasisi hawana vitega uchumi vinavyoliingizia mapato au linaitegemea serikali kwa 100%?

    Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea. Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi? Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitatumia elimu yangu kukuza uchumi na kufuta umasikini katika nyanja zote

    BUSEGA- SIMIYU Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/ au zaidi kwa mwezi) imeongezeka toka watu milioni 12.3 mwaka 2011 na kufikia watu milioni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mgombea Urais wa CCM ashitakiwe kwa kuwa na kusudio la Kuhujumu Uchumi?

    Mara nyingi mgombea huyu amekuwa akitishia watu kuwa wasipomchagua mgombea anayemtaka yeye mara atawanyima maji , mara atawanyima barabara,na mambo mengine mengi. Mgombea huyu atambue kwa kufanya hivyo atakuwa anahujumu uchumi, mathalani atatakiwa kutengeneza barabara nzuri ili TRA wafike huko...
  15. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha nchi kuwa na nguvu za uchumi ni kipi?

    Dola moja ya marekani ni sawa na shilling 2326 za Tanzania Dola moja ya marekani ni sawa na Yeni 11 za japan Dola moja ya marekani ni sawa na dinar 0.33 za Kuwait Hela yenye nguvu kuliko zote duniani ni dinar ya Kuwait.Tunaambiwa nchi tajiri kuliko zote duniani ni Luxembourg kanchi kadogo sana...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrika inapoteza fedha nyingi kwa uhujumu uchumi kuliko inazopokea kama misaada

    Utafiti uliondeshwa na Umoja wa Mataifa, umeonyesha bara la Afrika linapoteza karibu dola billioni 89 kila mwaka katika mtiririko haramu fedha kama vile ukwepaji kodi na wizi. Ripoti hiyo yenye kurasa 248, iliyotolewa Jumatatu, imetolewa na bodi ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ruvuma, Lindi, Tanga na Tabora ngome za CCM zilizozama kwa umaskini, Ngome za wapinzani zipo uchumi wa Kati

    Maeneo yote wanayochagua CCM ni maskini wa kila kitu, CCM ikishachaguliwa ukimbilia kupigania maendeleo ya maeneo ya majimbo ya upinzani ili yarejeshwe kwao UCHAGUZI ujao. Hakuna fadhila wanayopata wanaowachagua na ndiyo maana nchi haipigi hatua. Mwanza waliwachagua lakini wabunge wote walibaki...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na historia isiyofutika

    Na Emmanuel J. Shilatu Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  19. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania China itautingisha uchumi wa Marekani ikiwa tu Wanawake wa China watakubali kuzaa na Waafrika

    Ili Uchumi wa Marekani utikisike basi ni mpaka wanawake wa China watakapokubali kuzaa na waafrika ili kupata kizazi chenye nguvu na maarifa kama ilivyokuwa kwa wazungu miaka mingi iliyopita,ila wakijitenga wao kama wao si rahisi
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
Back
Top Bottom