Hivi bunge kama taasisi hawana vitega uchumi vinavyoliingizia mapato au linaitegemea serikali kwa 100%?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,904
141,851
Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.

Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?

Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mahakama wana vyanzo lakini na wao ni kama Bunge tu mpaka wapate uhisani toka kwa aliye nacho na hakuna sheria inayombana atoe ngapi kwa kila mmoja
 
Mwisho wa siku utakuja pia kuhoji kuhusu Mahakama bila shaka na zenyewe ziwe na vitega uchumi!

Kwa ajili ya nini hasa?
 
Bunge hili hili kibogoyo, lililojaa wachumia tumbo?? Wanaojitibia kwa billions za watanzania wanyonge, liwe na mradi?? :D :D :D :D

Nitak*nya tokea Nyasa mpaka Sirari, na kila k*mba naweka buku...looh!

Bunge hili hili ambalo watumishi wanamuacha Bwana wanalikimbilia.:D

Masikharaa hayo!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Walau mahakama wana chuo pale Lushoto!

Kwani hicho chuo kinaendeshwa na Mahakama au Serikali? Na unataka na Bunge nalo liwe na chuo, mashamba ya mahindi kule Kibaigwa! Nk.

Wacha Bunge lijikite kwenye majukumu yake ya msingi Bwashee. Au kwa sababu mmelivuruga awamu hii ya tano basi mnataka mlivuruge zaidi awamu hii inayofuata!

Rais ajaye Mh. Tundu Lissu hatakubaliana na wewe katika hili.
 
Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.

Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?

Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Achaga upumbavu, aliye kwambia bunge ni taasisi ni nani? Shule za kijinga zinaharibu elimu
 
Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.

Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?

Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani hicho chuo kinaendeshwa na Mahakama au Serikali? Na unataka na Bunge nalo liwe na chuo, mashamba ya mahindi kule Kibaigwa! Nk.

Wacha Bunge lijikite kwenye majukumu yake ya msingi Bwashee. Au kwa sababu mmelivuruga awamu hii ya tano basi mnataka mlivuruge zaidi awamu hii inayofuata!

Rais ajaye Mh. Tundu Lissu hatakubaliana na wewe katika hili.
Ni kweli Lisu hatakubaliana na mimi kwa sababu Chadema haina kitega uchumi hata kimoja katika uhai wake wa miaka 28.

Afadhali hata TLP ya Mrema wana Jogoo house ambalo wamepangisha na wanalipwa rent!
 
Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.

Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?

Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo ka afya tu?

Majibu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
Nimeelewa leo vizuri kwanini huwa wewe unasapoti ccm, ni kwasababu ya kutokujua ukweli wa mambo. Yaani unalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano liwe linafanya biashara ya maduka, vituo vya afya, mahoteli, nk?! Bunge liwe na miradi ya biashara?!!! CCM inafaidika sana na watu wasiojua ukweli kama wewe.
 
Back
Top Bottom