uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani: Aliyekuwa mshauri wa Trump ahukumiwa miezi 40 jela

    Roger Stone, aliyekuwa mshauri wa Rais wa Marekani, Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi ambaye jina lake lilitajwa wakati wa kesi ya Urusi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 na miezi 4. Uamuzi kuhisiana na kesi zilizokuwa zikimbali Stone umetolewa katika mahakama jijini Washington...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaongeza siku za kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku tatu za zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Zoezi hilo lililokuwa lifikie tamati leo kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani sasa litafikia tamati Jumapili February 23 Mwaka huu. =====...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa pale tu CHADEMA na wapinzani kwa ujumla watakaposusia Uchaguzi Mkuu 2020

    Kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, nilipost uzi unaosema kuwa CCM wameweka mapandikizi yao yagombee lakini niliishia kupigwa BAN ya miezi mitatu na hawa moderator mpaka uchaguzi ukaisha bila bila. Sasa leo nawaambia hivi, CHADEMA na upinzani kwa ujumla mnatakiwa kutoa tamko la...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msifadhaike kabisa kipyenga kikilia tu wengi watakuja upinzani tila lila

    Mimi ni wa Kijijini na ninatolea mfano kwa mazingira ya huku kwetu Idukilo-Kishapu-Shinyanga. Watu wanafadhaiiiiikaaa eti sijui nani karudi au kaenda kwenye LiChama Tawala na upinzani unazidi kuchoka ! Walaaaaa! Sio hivyo kabisa! Upinzani utakuwa kwa asilimia kubwa sana Mwaka huu - subiri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  6. JamiiForums Tanzania USA: Uchaguzi 2020

    Mbio za uchaguzi wa wa marekani kumchagua rais, wabunge congress wote 435 na maseneta 35 kati ya 100 zimeanza kuwapa nguvu bainba ya Democrats na Republicans. Kwa sasa hivi Democrat ina wabunge 232 wakati republican inao 197; kwa jumla Democrat imeposhateza mbunge mmoja aliyehama kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kampeni za kujiandikisha na kuboresha daftari la wapiga kura: Kutakuwa na uchaguzi au ni yale yale ya serikali za mitaa?!

    Wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana watu walihimizwa kwenda kujiorodhesha kwaajili ya uchaguzi huo. Baada ya kujiorodhesha kukatokea kituko cha karne ambapo wagombea wa upinzani zaidi ya asilimia 99 waliondolewa kwenye kinyang'anyiro na wale wa chama tawala kutangazwa kuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheikh Ponda: Zanzibar itakuwa ni mlango wa kuvunjika amani uchaguzi mkuu 2020

    Katibu Mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu. Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waitara: NEC ni Tume Huru ya uchaguzi, 2015 niligombea ubunge kupitia CHADEMA Tume Huru ikanitangaza mshindi

    Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula. Source: Malumbano ya Hoja mubashara
  10. JamiiForums Tanzania Mbatia asema NCCR lazima watashiriki Uchaguzi Mkuu

    Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru Yeye kasema NCCR itashiriki na haiungani na wengine wanaopinga Na imejipanga kuweka wagombea nchi nzima Ikumbukwe kuwa yeye ndie makamu mwenyekiti wa UKAWA Ina...
  11. JamiiForums Tanzania NEC: Ratiba ya Uchaguzi Mkuu haijatoka

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haijatoa wala kutangaza ratiba yoyote ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu wa 2020. Taarifa iliyotolewa na NEC kwa vyombo vya habari imeeleza kuwa, utaratibu wa tume ni kupanga ratiba ya Uchaguzi mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  12. JamiiForums Tanzania Gazeti la The Economist: Rais Magufuli na CCM kuendelea kushika madaraka baada ya Uchaguzi Mkuu

    INTELLIGENCE UNIT ni sehemu ya kitengo ndani ya Gazeti la The Economist ambacho hufanya uchunguzi na utafiti wa kisiasa na kiuchumi kwa nchi mbali mbali duniani na kutoa matokeo au matarajio. Kitengo hiki cha kiuchunguzi kina wafanyakazi wabobezi zaidi ya 100 duniani ambao hutoa tafiti na...
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba na matukio ya Kiserikali kuelekea uchaguzi mkuu 2020

    Wadau. Kwa bahati Mbaya Hadi Sasa sijapata Ratiba zifuatazo: 1. Tarehe Rasmi ya kuapishwa Rais Magufuli kuendelea kuongoza kwa Awamu ya 2. 2. Tarehe ya Wapinzani kususia Uchaguzi 3. Tarehe ya Wapinzani kupinga Matokeo ya Uchaguzi 4. Tarehe ya Wapinzani Kuanza Kupokea Makapi Kutokea CCM. 5...
  14. JamiiForums Tanzania Wapinzani watambue kuwa Uchaguzi Mkuu utafanyika Tanzania na sio nje

    UCHAGUZI MKUU UTAFANYIKA TANZANIA NA SIO NJE! Ukitizama vyama vya CHADEMA na ACT unaweza kudhani uchaguzi mkuu utafanyika Ulaya na Marekani! Utadhani watakaopiga kura ni wazungu, benki ya dunia, BBC, VOA, DW, Amnesty International, n.k. Yaani wamewekeza nje! Wanafanya kampeni nje! Na huu ndio...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: CCM kuwafungia Maisha wagombea watakaokutwa na hatia ya rushwa kwenye uchaguzi mkuu

    CCM imetoa onyo kwa wagombea wake wote wa uchaguzi mkuu kwamba yoyote atakayepatikana akitoa rushwa atafungiwa maisha yake yote kushiriki uchaguzi kupitia chama hicho. Hii ni hatua muhimu sana katika kudhibiti wale wote wenye nia ya kununua nafasi za uongozi. Source Mtanzania Jumapili
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na serikali waziwazodoe na kuwasema mabeberu. CCM ikishinda tena uchaguzi wa 2020 ifanye mambo yake kimyakimya.

    Zile kauli za kwamba "wameichezea sana hii nchi", au "wametunyonya sana" au ziwe ni historia. Mabeberu wote wana tabia kubwa moja, nongwa. Ukisema kitu kimoja hadharani wao wanakirekodi na kukiweka ili kije kuwa ni kumbukumbu juu yako wewe mwenyewe. Hivyo jitihada zote za serikali ya awamu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

    Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu. Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki. Kwahiyo pasipo na amani sote...
  18. JamiiForums Tanzania NEC: Tume ya Uchaguzi iliyo ipo huru kwa mujibu wa Sheria

    Faraja Masinde, Dar es salaam TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeujibu Ubalozi wa Marekani nchini kuhusu kuanzishwa kwa tume huru, ikisema ushauri uliotoa ni mawazo yao na kwamba tume iliyopo ni huru kwa mujibu wa sheria. Januari 31 mwaka huu, Ubalozi wa Marekani nchini ulimpongeza Rais Dk...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi, isiwe lazima kila jimbo kuwa na mbunge

    Leo Bunge limeahirishwa. Michango tumeiona kwa ubora tofauti. Hapa Ndani ya JF kuna watu wanashawishi watu fulani waende majimboni kuchukuwa nafasi za Ubunge. Niliwaona Ukerewe wakiwaomba maprofesa, nawaona leo wana Karagwe wakimuita Profesa. Ombi langu ni kwamba isiwe ni lazima kila jimbo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Je Kampeni za uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais tayari zimeanza?

    Wanajamvi, leo katika pitapita zangu jijini Arusha nimeona Gari likipeperusha bendera ya ccm, na nilipotazama vizuri nikaona Bango kubwa limebandikwa kwanye kioo cha nyuma limeandika - MAGUFULI 2020. Je ndo kampeni zimeshanza kwa chama hicho au hilo bago lina maana gani? Je Vyama pinzani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…