Uchaguzi 2020 Je Kampeni za uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais tayari zimeanza?

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
Wanajamvi, leo katika pitapita zangu jijini Arusha nimeona Gari likipeperusha bendera ya ccm, na nilipotazama vizuri nikaona Bango kubwa limebandikwa kwanye kioo cha nyuma limeandika - MAGUFULI 2020.

Je ndo kampeni zimeshanza kwa chama hicho au hilo bago lina maana gani?

Je Vyama pinzani vikibandika mabango kama hayo, mf. Lipumba 2020, Mahalim seif 2020, Mkaye 2020 n.k. itakuwa ni kuvunja sheria za uchaguzi?

Nawasilisha
 
Bila shaka. Wapinzani wakiweka bango kama hilo kwa sasa ni balaaa. CCM wafanye lolote sio big deal lakini yote ni kuwa wana hofu kubwa kugongwa . Mwaka huu kitaeleweka. Kwetu Zanzibar tayari wanapeleka muswada kwenye baraza kuwa mtu yeyote aliyehamia chama chini ya miaka miwili wasiruhusiwe kupiga KURA. sasa mimi nawauliza kwani sheria ya vyama vya kisiasa zilitungwa na baraza la wawakilishi au bunge la Tanzania?. hawa vichwa maji wao pamoja na katibu mkuu wa chama BASHIRUUU ni ma limbukeni.
 
Back
Top Bottom