YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,052
Akiongea na vyombo vya habari na taarifa ya habari ya ITV Mbatia katofautiana na wenzie wanao Lia Lia katiba mpya Sijui na tume huru
Yeye kasema NCCR itashiriki na haiungani na wengine wanaopinga Na imejipanga kuweka wagombea nchi nzima
Ikumbukwe kuwa yeye ndie makamu mwenyekiti wa UKAWA Ina maana UKAWA umekufa sababu Walikuwa wakiachiana maeneo nk.
Sasa kila.mtu kivyake Hakuna tamko la UKAWA la pamoja Tena
Huyu anasema tume huru Kwanza huyu anasema tutagombea
Wameshaanza kugawana fito