Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Ni mpambano mkali. Ndivyo tunavyoweza kusema ukitizama watia nia wanaogombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bavicha Taifa.
Baraza la Vijana Chadema BAVICHA ndicho chombo kikuu kinachowasemea vijana si ndani ya chama tu bali Taifa kwa ujumla.
Pia Baraza hili limekuwa likiwapika vijana kuwa viongozi...
Zikiwa zimepita takribani siku tano tangu kumalizika kwa amani uchaguzi wa serikali za mitaa na matokeo kutangazwa na washindi kusheherekea ushindi wao, sasa muda wa kuliangalia swala la uchaguzi katika upana ili kuyaziba mdomo mataifa yanayoonesha kupingana na uchaguzi huo.
Baada ya matokeo...
Amani iwe nanyi,
Katika kile kinachoonekana kuwa ni "Joto la Uchaguzi " Kanda ya kati hali si shwali kwa upande wa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Kanda Mhe Lazaro Nyalandu anayetupa karata yake kumkabili Kijana machachari Sana Alphonce Mbassa Mwenyekiti anayemaliza muda wake,
Lazaro...
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi...
Mwandishi Sammy Awami amejitahidi kwa kiwango kikubwa kuuliza maswali ya msingi sana lakini Humphrey Polepole amebisha vikali juu ya ukiukwaji mkubwa wa demokrasia
Aman iwe juu yenu wakuu,
Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa.
Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Wanazengo salaam.
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kinachoendele katika uchaguzi ndani ya BAVICHA hasa kwa wagombe sita wanaofahamika yaani huyu CPA KITALIKA, Hemed ALLY, Simbeye Edward, Nusrate Hanje, Gwamaka Mbughi na Chacha Machera.
CPA Kitalika, Gwamaka na Chacha hawakabiliwi na...
Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa.
Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
Kamati Kuu ya CHADEMA imetoa rasmi orodha ya wagombea wa nafasi mbalimbali katika kanda zake zote 10 baada ya mchujo mkali.
Kati ya Orodha hiyo mvuto mkubwa ni nafasi ya Uenyekiti kanda ya Kaskazini ambako kuna mtifuano mkubwa kati ya wabunge wake wawili machachari Godbless Lema na Joseph...
Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa,
Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe!
Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza
1. Je, Chadema hawana mtu wa kuvaa viatu vyake?
2. Kafanya kazi kubwa sana kiasi kwamba ni fadhila kwa kazi alofanya?
3...
Matarajio ya upinzani katika kususia uchaguzi wa serikali za mitaa yamekuwa kinyume na uhalisia baada ya mwitikio wa watu kuwa mkubwa katika zoezi zima la kampeni mpaka upigaji kura. Kinyume na matarajio yao kwamba watu wangesusia, wasingejitokeza kushiriki kampeni na kupiga kura lakini ni wengi...
Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk.
Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
Wanabodi,
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa hapo kesho, wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi, kuwachagua viongozi bora, huku wasimamizi wa uchaguzi, kutakiwa kutenda haki kwa washindi halali kutangazwa.
Wito huo, umetolewa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
Kwa mkoa wa Ruvuma sikushangaa uchaguzi wa serikali za mitaa kutofanyika kwani kule ndiko uliko moyo wa CCM.
Hakuna mkoa wowote Tanzania ambao CCM imejichimbia mizizi kama Ruvuma ndio maana huwezi kuwasikia Chadema wanaizungumzia mkoa huo.
Kilichonishangaza ni Tanga.......yaani mkoa mzima wa...
Baada ya wapinzani kufanyiwa figisu figisu hivyo kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM wamepata aibu nchi nzima.
1. Wamekosa washindani nchi nzima
2. Wanafanya kampeni peke yao nchi nzima. Hakuna hamasa, majigambo nk.
3. Wamekosa wasikilizaji hadhira.
4. Wameishia kupeleka wasanii wa...
Chama cha Demokrasia Makini kimesema ili kujihakikishia ushindi wa “Kisulisuli” kwa wagombea wake wote, viongozi wote wa ngazi ya juu ya chama hicho wamegawana kwa kila mmoja kwenda katika mkoa wake na kufanya kampeni kwa kadri wanavyoweza kwa kushirikiana na wagombea pamoja na wanachama...
Najaribu kuuliza hilo swali. Natafakari dhamana ya serikali na viongozi wetu kwenye hii vurumai na najaribu kuiangalia wajibu wa kuwajibika(Responsibility) naona giza.
Yaani kwamba zoezi la maandalizi ya uchaguzi kwa hatua za awali kabisa serikali kufanya figisu ya kutoa tarehe kwamba ilikuwa...
Baada ya vyama vya upinzani kususia kushiriki uchaguzi kwa ngazi ya serikali za mitaa, tumeshuhudia makundi mbalimbali hapa nchini yakitoa matamko ya kuungana na serikali na mengine wakipinga uchaguzi huo kutokana na rafu za CCM.
Mwishoni mwa juma, kanisa katoliki kupitia TEC walitoa msimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.