Ratiba na matukio ya Kiserikali kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.
Kwa bahati Mbaya Hadi Sasa sijapata Ratiba zifuatazo:

1. Tarehe Rasmi ya kuapishwa Rais Magufuli kuendelea kuongoza kwa Awamu ya 2.
2. Tarehe ya Wapinzani kususia Uchaguzi
3. Tarehe ya Wapinzani kupinga Matokeo ya Uchaguzi
4. Tarehe ya Wapinzani Kuanza Kupokea Makapi Kutokea CCM.
5. Tarehe ya Wabunge Wapinzani wa kukabidhi Ofisi za majimbo Yao kwa Wabunge wateule wa CCM

Ratiba nyingine Ni Kama inavyoonekana Hapo Juu.

Karibuni

IMG-20200210-WA0042.jpg
 
Ongeza na maandamano ya maafa kutoka kwa vyama pinzani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom