Waitara: NEC ni Tume Huru ya uchaguzi, 2015 niligombea ubunge kupitia CHADEMA Tume Huru ikanitangaza mshindi

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,349
2,000
Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.

Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Waitara, watu waliumizwa kwa ajili yake leo anawakejeli !! Binaadamu ni mnyama mbaya sana.

NEC huru kwa kuwa amehongwa ubunge na uwaziri . Siku hazigandi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
35,734
2,000

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
22,742
2,000
Naunga mkono hoja, NEC ni Tume Huru ila sio inclusive!.
Subiri kuwa msemaji wa serikali!
Nadhani haya huyajui, upo upo tu!
To be Huru, NEC should embody the following:
• independence,
• impartiality,
• transparency,
• professionalism, and
• sustainability.

Kama una akili za kisomi , na siyo za jiwe, nenda kwenye details za kila moja ya hizo principles
 

kanankembe

Member
Nov 4, 2019
85
125
Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.

Source: Malumbano ya Hoja mubashara
Watu serious hawahangaiki na siasa za Tanzania na nchi za Afrika kwa jumla. Kwanini?
Kwa sababu wanasiasa wengi ni "political entrepreneurs". Naibu waziri hakung'ata maneno: " . . . watakaosusa was use lakini wengine watakula".
 

SOI MSHUMBUE

Member
Oct 20, 2019
10
45
Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula.

Source: Malumbano ya Hoja mubashara
NI KWELI WATAKAOSUSA WAJUE TUTAWAPUZA WANAOLALAMIKA NI WALE TUME HII ILIWATANGAZA WASHINDI SASA KWA KUWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA ILANI ZAO NA KUWATELEKEZA WANANCHI WANASEMA TUME SIO HURU MAANA WANAJUA WAKIGOMBEA WANANCHI TUNA HASIRA NAO
 
Top Bottom