uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Spika Ndugai, upinzani siyo CHADEMA, ni Watanzania waliochoka...

    Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema. Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

    Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli. Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli "theoretically" ameutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na chaguzi zilzo huru, lakini "practically" hatutakuwa na uchaguzi ulio huru!

    Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki. Hata...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, Una hofu na matusi gani wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu!?

    Habari wana JF Leo wakati Rais Magufuli akivunja bunge, katika hali inayoonyesha hofu ya kutojiamini kuelekea Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, ametadharisha kuwa watakokuwa wanatoa matusi watashughulikiwa! 'Matusi' ni neno la jumla sana, na sidhani kuna watu waliomuelewa ni matusi gani ambayo...
  6. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Pascal Mayalla: Je inawezekana CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi inaogopa kupoteza kiti cha Urais na majority bungeni?

    Swali langu ni hili..... Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila ya Tume Huru ya Uchaguzi kwenye picha moja

    Ni wazi kuwa ifikapo October 2020 hapa Tanzania, kitapigwa kipute cha soka kwenye uwanja tenge kama picha hapa chini inavyodhihirisha...
  9. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakuu wa Mikoa majembe na vimeo kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu wa mikoa ya Tanzania Bara huteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa sasa ni jemedari shupavu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar huteua na kuwaapisha wakuu wa mikoa ya huko.Tanzania Bara ina mikoa 26 na Zanzibar ina...
  10. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na vyama Vingine pinzani mmekubali kuingia kwenye Uchaguzi kwa Tume hii ya Uchaguzi? Baada ya Uchaguzi tusisikie mnalia

    Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kwa jinsi hali ilivyo ukiachilia maneno ya wanaccm ,vyama vya upinzani vina nafasi kubwa ya kupata ushindi kwenye majimbo mengi Nimejaribu kufanya observation maeneo mengi, wananchi wamekata tamaa na hali ya maisha yamekuwa ya uwoga msingi kitu ambacho kinaashiria...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watia nia ya Urais CHADEMA: Mmetangaza nia, mmejipangaje kuyakabili yaliyotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Maana for sure yatatokea hayo au zaidi

    Kwangu mimi nadhani mngeanza ku-address hilo. Kutia nia bila kulisemea hilo, kwangu mimi ni kupoteza muda. Kwa utawala huu watafanya kama walivyofanya Serikali za Mitaa au hata zaidi ya hapo. Kama bila aibu Ndugai anafanya anayoyafanya Bungeni na hakuna wa kumkemea: executive, mahakama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Sheria/kanuni za uchaguzi zinasemaje iwapo mgombea urais akikamatwa kwa kosa lisilo na dhamana katikati ya kampeni

    Ikitokea Lissu kaanza kampeni, na baada ya kuonyesha ni tishio, anakamatwa ktkt ya kampeni kwa kosa la kutakatisha pesa. Je, tume ya uchaguzi itafuta uchaguzi, itasimamisha au utaendelea.... Napata hisia tu, hata hivyo siombei itokee .....
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 UCHAGUZI WA ZANZIBAR: Great thinkers, inabidi iwashangaze kuwa mpaka sasa hakuna mwana CCM yeyote aliyechukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho.

    Amani iwe nanyi, Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu. Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
  14. neema shamuhenya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi mkuu Oktoba hu waja

    Jamani Tujipange kwa Kumpigia kura Rais wetu JOHN MAGUFULI, tusikubali kupoteza Kura zetu huyu ni Rais Mchapa kazi na Mtetezi wa Wanyonge atarudi tena kwa kishindo kikubwa Oktoba, 2020. Tukumbushane kidogo baadhi ya Mambo au Miradi inayotekelezwa au iliyotekelezwa na Serikali ya Awamu ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

    Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi utajisikiaje mbunge umehamia CCM halafu unaenda kukataliwa na wanaccm kwenye kura za maoni? Angalizo: mtatukanwa sana na wapinzani wenu chamani!

    Mbunge umehamia CCM tena unawatukana waliokupa ridhaa ya chama kugombea. Unatukana sana huku unajisahau kuwa unaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya chama ambacho umehamia juzi. Chama ambacho unaenda kukutana na magwiji ha propaganda chafu yaliyojipanga tangia 2016. Nawaambieni mtapata tabu sana...
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Patana na mgomvi wako kabla safari CHADEMA wanafanya kosa la Lowassa wanaingia uchaguzi wakiwa na ugomvi na Serikali,vyombo vya dola,mahakama na Tume

    Kuna usemi mmoja kwenye Biblia unasema Mathayo 5:23-24 “Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako." Lowasa aliendekeza ugomvi na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mambo haya yatakipa ushindi mkubwa CCM na yanaweza kupoteza wabunge wengi wa upinzani kwa kuzingatia muda uliobaki kufanya uchaguzi

    Mambo yafuatayo CCM ikijipanga vizuri itashinda kwa kishindo .... 1. Kitendo cha Tundu Lissu kwenda kuichafua nchi kwa wazungu. 2. Kitendo cha Zitto Kabwe kutaka nchi isipewe mkopo wa elimu na WB, na baadaye nchi kukopeshwa 3. Kitendo cha wapinzani kupinga kila kitu 4. Kitendo cha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu, Ngeleja " amkumbatia" Haji Manara Bungeni

    Wakati akichangia hotuba ya bajeti mbunge wa Sengerema mh Ngeleja ametumia muda mwingi kumsifia afisa habari wa Simba Haji Manara. Ngeleja amedai kuwa Manara ni mtu makini ambaye uwepo wake klabuni umeifanya Club ya Simba ing'ae na siyo haki kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 bila ya...
  20. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?

    Habari! Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya. Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu. Joe Biden hakuishia hapo tu bali amedai kuwa anaamini Jeshi litalazimika kumuondoa kwa...
Back
Top Bottom