Uchaguzi 2020 Lowassa na Mkewe wamdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais katika Uchaguzi wa Oktoba 2020

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,251
2,000
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza Wilayani Monduli, Arusha kudhamini Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM akiwa pia ndiye pekee aliyechukua fomu ya kuwania Urais Tanzania kupitia Chama hicho.
EbRVVPNX0AEB7J1.jpg
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
74,125
2,000
FB_IMG_1592995293945.jpg

Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !

labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .

Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
5,488
2,000
Lowassa alihama chadema kwa shinikizo kwamba mkwe wake ataachiwa huru kama ataunga mkono juhudi

Namwonea huruma maana ameunga mkono juhudi na mkwe wake ndo kwanza anazifi kusotea rumande

Kwa kifupi majuto yake ni makubwa na hana jinsi zaidi ya kulamba miguu ya jiwe la mtoni.
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,798
2,000
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake
HApana mkuu, ispokuwa Siri za ndani ya CCM, Chadema walishindwa kuzing'amua, ndicho kinachotoka leo

Hivi Mimi niombe kuuliza Leo Kwa swali ambalo libaendelea kunitesa,

Wakati nchi inakubali kuingia Vyama vingi, Je Tanzania ililipokea Kwa mikono miwili maamuzi hayoo ama ni zilifanywa kuwa agenda za Siri saaana za Viongozi ndani ya Ccm na nje ya CCM?

Kwa nini?

Mbona upinzani haujawahi kuimarika sasa ni zaidi ya miaka 20?

Upinzani ukionyesha kuimarika tu, ujasusi wa kisiasa unafanywa ili kurudishwa nyuma hatua elfu,?

Na inasemekana hata hao viongozi wa kisiasa Vyama pinzani wanadamu za Ccm na wanamaslahi ya moja Kwa moja na CCM?

Na sasa; Mimi naelekea kutokupiga Kura kabisa miaka yote, Kwa sabb sielewi
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,090
2,000
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
Niwewe tu unayewaamini akina mbowe mabingwa wa maigizo,lakini ukweli ni kuwa ni mtu mmoja tu mwenye nia ya kuiokoa nchi yetu,naye ni jpm.

Tumsapoti ili atufikishe kannani

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,557
2,000
View attachment 1487688

Kutoka kuwa kamanda hadi kulazimika kumdhamini mtu ambaye huamini falsafa yake ni jambo la kuhuzunisha mno !

labda Kwa faida ya wanajf na wengine wasiojua ni kwamba Mzee Lowassa ni miongoni mwa wengi waliosalimu amri baada ya kusomeshwa namba na utawala wa awamu ya 5 , Mpaka naandika haya Mkwe wake yuko selo kwa kesi ya kutakatisha pesa .

Natoa wito kwa watu wote kwamba ukishajiona wewe ni legelege usijaribu kushiriki siasa za upinzani , utajuta .
Tunatetea mali zetu zisitaifishwe
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,699
2,000
Anaiga rafiki zake wa Chadema walivyomuamini baada ya kumtusi sana
Naona Lowasa Anakula Matapishi Yake

Ukiwa Fisadi Na Jizi Nchi Hii Huwezi Kuwa Chama Tofauti Na Ccm.

Lowassa Alipohojiwa Na BBC alisema Magufuli Ni Dicteta Leo Anampangusa Miguu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom