Uchaguzi 2020 Wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio watakuwa wasimamizi wa uchaguzi 2020

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?

How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu

#ChangeTanzania
 
Kwani wameanza leo kusimamia? Acheni uwoga kaeni mkao wa kula

Acha kufananisha Ma DED wa zamani na hizi takataka zenu zilizoshindwa kwenye uteuzi wa kura zenu za maoni mwaka 2015 na pia wale walio garagazwa na wapinzani.

Ma DED wa zamani walikuwa ni Watumishi wazoefu na wenye heshima zao kwenye jamii! Hivyo walijitahidi kusimamia haki na hakukua na kitisho kutoka kwa mtu yoyote! na pia hawakuwa UV Ccm na Makapi kama hawa wa sasa.
 
Lilia uhuru ndani ya chama chako kwanza

Chama changu kipi, mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni shabiki wa cdm. Nidai uhuru gani kwenye chama ambacho mimi sio mwanachama?
 
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Do not complain. There may be some way out of this calamity in offing. I hope the solution is on the way coming. You may also suggest some part of the solution.
 
Kwani wameanza leo kusimamia? Acheni uwoga kaeni mkao wa kula
Kama tunaitakia mema nchi hii basi tuwe na tume huru ya uchaguzi, sheria sawa kwa vyama vyote vya siasa, vyombo vya dola (polisi, usalama wa taifa, mahakama, n.k.) viwe huru, na kila mwananchi amuone mwenzake ana haki ya kuishi kwa heshima na salama katika nchi. Vinginevyo tunaelekea kubaya.
 
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Na kama hawana (wapinzani) mipango yoyote, kwa nini pawepo na uchaguzi mkuu? Au ni swala la kubahatisha?
 
Do not complain. There may be some way out of this calamity in offing. I hope the solution is on the way coming. You may also suggest some part of the solution.
Don't you see he's already made suggestions towards solving/avoiding the 'calamity'?
 
Hili ni kosa ambalo wapinzani wamelifanya tangu 1995. Sijui kwa nini wanafikiri 2020 itakuwa tofauti? Wakati wa kudai Tume huru ni baada ya uchaguzi, mathalani kwa kipindi hiki, 2016-2020. Siyo unakaa kimya 2016-Mei 2020, halafu unaanza Juni 2020! It does not work and will never work.
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
 
Chama changu kipi, mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa bali ni shabiki wa cdm. Nidai uhuru gani kwenye chama ambacho mimi sio mwanachama?
Mkuu, kwani kudai haki kama raia wa nchi hii bila kuambatana na chama cha siasa haitoshi?
 
Imeshaamuliwa maDED wataendelea kusimamia uchaguzi na hakuna Tume Huru - the rules are set - je kwa nini upinzani umekubali kucheza mchezo huu?
How genuinely are they seeking Change? Au kuna back room deals za kuhakikishiwa vyeo, wameridhika?
Tusikilize majibu
#ChangeTanzania
Hao wapinzani kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi huwa wanakula kiapo kuwa returning officers na huacha kando vyeo vyao vya kuteuliwa. Na uzuri kila chama huwa kinaweka wakala ambae hulinda kura za chama chake kuanzia kila ngazi.
 
Back
Top Bottom