Malawi: MCP ikionekana kuongoza katika kura za awali katika uchaguzi wa marudio, chama tawala chalalamika kufanyiwa "rough" kutishia kukataa matokeo

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,377
73,975
Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
 
Malawi siyo Tanzania. Malawi wana independent judiciary. Police siyo ya chama tawala. Ni ya Wamalawi. Jeshi nalo liko neutral. Tanzania nayo ipiganie independent instutions kwanza kama mnataka kuwa kama Malawi.
 
Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
Ngoja tuone huko Malawi
 
Tunawapongeza Marafiki Zetu wa Mawali kwa Ushindi katika uchaguzi Mkuu. ( 791 X 640 ).jpg
 
Hicho chama tawala cha Malawi wangefanya figisu Jecha ateuliwe kuongoza hiyo tume yao ya uchaguzi wasingefikia hapo walipo.
 
Ondoe ccm basi ila huku kulalamika na sijui katiba mpya sidhani kama kutasaidia,ccm ina mizizi.
 
Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!

IMG_20200627_151225.jpg
 
Back
Top Bottom