Kila anaeiita Tanzania kwetu kuna vile anapenda iwe na atendendewe. Muda wako ni huu wa kusema kupendekeza, kushauri, kushawishi, kuonya, kutahadharisha, kulaani, na kulaumu na kuunga mkono yale unayoyapenda/usiyoyapenda, maana hakuna mwenye haki miliki ya Tanzania ni dhamana tu tunawapa wafanye...