Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Moja ya sababu ya msingi ambayo TFF kwa kujua au kutojua kuhairisha mechi ya yanga na Simba kuelekea UCHAGUZI imesaidia Sana kuja kutumika kutunishiana kifua kwa wagombea wa Uraisi.
Kwa bahati mbaya kabisa Mpira wa miguu hasa timu za Simba na yanga uhusishwa Sana na siasa.
Ingawa haijulikani...
SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE!
Tanzania yapendeza
Amani yetu yaangaza
Uhuru wetu twajivunia
Na tisa hamsini metimia
Beberu we situtishe
Utaipata kasheshe.
Wapo wenye inda
Nia yao kulivurunda
Taifa letu imara
Watuletee madhara
Tunasema hatukubali
Tutawafyekelea mbali.
Twatimiza...
Mfumo wa Uchaguzi Kwa Mujibu wa Jarida la Tume ya Taifa ya Uchafguzi Tanzania Ukurasa wa 8
Tanzania inatumia mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anayepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine yeyote ndiye hutangazwa kuwa mshindi (First – Past – the Post). Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 41(6)...
Ni majimbo yafuatayo:
1. Kawe
2. Mikumi
3. Iringa mjini
4. Mbeya mjini
5. Tunduma
6. Hai
7. Karatu
8. Bunda
9. Tarime mjini
10. Tarime vijijini
11. Arusha mjini
Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa.
Maendeleo...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa kuisimamia haki vilivyo na kwa nguvu zetu zote.
Safari ya Mlandizi ilendelea si kwa sababu wajuvi...
Jiji la Mwanza latoa Tsh. bilioni 2.75, uchaguzi Nyamagana CCM kupeta
Serikali imetumia zaidi ya Tsh. Bilioni mbili (2) kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika halmashauri ya jiji la Mwanza kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Fedha hizo zilitolewa na jiji la...
Makada watano CHADEMA mbaroni kwa tuhuma za makosa mtandaoni
MAKADA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuingilia mifumo ya mawasiliano ya kibenki.
Vilevile, wanatuhumiwa kuendesha mafunzo batili yanayolenga...
Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini.
Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi...
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama vingine CCM wanawekeza sana kushawishi watu wao kujiandikisha, ambapo wale mabalozi wa Nyumba kumi...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Mkuu mstaafu Hamid Mahmoud amesema kura ya mapema haitawahusisha wapiganaji wote wa vyombo vya ulinzi ikiwemo majeshi na Polisi, kama inavyodaiwa na watu wanaojaribu kupotosha ukweli na madhumuni ya kura hiyo.
Alisema hayo wakati...
Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea wanaotumia lugha ya matusi na uchochezi kwenye kampeni wataondolewa kwenye karatasi ya kupigia kura. Yaani...
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya kijinga.
Kamati hiyo inamtuhumu Magufuli kuminya Demokrasia, utawala bora, uhuru wa kujieleza toka...
TFF msije kusema hamukuambiwa, Mechi ya Simba na Yanga kuchezwa tarehe 18/10/2020 siku 9 kabla ya siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaofanyika tarehe 28/10/2020 hapa kuna jambo litazua jambo!
Machungu yanayotokana na hizo Mechi za watani yana athari zinazodumu kwenye jamii kwa...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
barua
chadema
hukumu
kampeni
lissu
lisu
maadili
nec
news
sababu
sahihi
siasa
tume ya taifa ya uchaguzi
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguziuchaguzi 2020
vyama
wote
Pamoja na kwamba Magufuli amepiga kampeni kwa miaka mitano na miezi hii miwili ya NEC lakini ukifuatilia vizuri kampeni zake, utagundua kuwa ana hofu zaidi ya kushindwa kupata kura za kumuwezesha kushinda uchaguzi ikiwa na maana kwamba asilimia kubwa anaamini anaweza kushindwa. Hii...
Mgombea urais wa JMT, Dkt. Magufuli amesema watanzania wawe makini wanapopiga kura kwani uchaguzi huu ndio utaamua kuendelea kuwepo kwa Muungano au kuvunjika.
Chanzo: Wasafi tv
Maendeleo hayana vyama!
CCM ikikosa dhamana ya kuongoza nchi, kama haitasambaratika kitakua chama bora cha upinzani kupata kutokea Tanzania. Kuna makosa machache yakifanyiwa kazi na CCM kuingia kwenye tanuri kitatoka kama dhahabu safi inayo ng’ara.
CCM Ina uzoefu wa kuiongoza nchi, hivyo itakua mkosoaji mkubwa wa...
Nimemsikiliza mara nyingi sana tena kwa makini sana mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, mara zote amekuwa akiisisitiza Tume ya uchaguzi nchini, iendeshe uchaguzi mkuu ujao, katika njia ya uwazi, Uhuru na Haki.
Amezidi kusisitiza kuwa wanachowataka Tume hiyo ya uchaguzi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.