Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum amtembelea Balozi wa Marekani, wazungumzia uchaguzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,855
141,792
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.

Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.

Maendeleo hayana vyama!
 
Balozi hakushauliwa vizuri kuonana na huyu bwana. Huyu Ni kiongozi wa dini lkn amekuwa akipendelea waziwazi upande mmoja.
 
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.

Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu sheikh atakuwa na walakini pahala mbona vituko vingi hivi kipindi cha uchaguzi?

Huyo balozi si kafir?
 
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.

Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.

Maendeleo hayana vyama!
Ametumia lugha gani ya mawasiliano huyu Mwana Fisiemu?
 
Uyu ni afisa wa usalama wa taifa, na si mwislam ila ni msomi mzuri wa quran na anaijua vzr, anachokifanya hapo ni ana pretend tu kutuwakilisha waislam, na cheo hicho kapewa na serikali.

Ukituuliza waislam juu ya nani kamoa wadhifa huo utopata jibu, manake hakuna mwislam aliyemchagua au kumpitisha kuwa na wadhifa huo.

Waislam tunaMMIND sana uyu muhasherati, mshirikina na mtelekeza watoto wa mitaani.

Na wewe ni mwislamu kweli?
 
Yani ile statement ya ubalozi wa USA kuwa Mwl.Nyerere alidumisha maendeleo ya watu na sio vitu kweli imetuchanganya sisi CCM..
 
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.

Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.

Maendeleo hayana vyama!
Masikini balozi kamuelewa kweli Hutu sheikh wenu? By the way kenda kwa balozi Kama nani?
 
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.

Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.

Maendeleo hayana vyama!
Shehe ubwabwa kaenda kudanga hela ya Maulid kesho.

Ndiyo zake, twamjua huyo!
 
Back
Top Bottom