Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza Tarehe 19 Oktoba kama siku ya mapumziko, Tarehe 28 imetajwa mapumziko, 29 kuwa siku ya kazi kama kawaida

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,150
2,000
1603019117961.png

SMZ imetangaza Oktoba 18 na 19 kuwa siku za mapumziko ili kusheherekea maulidi

Pia imetangaza siku ya Oktoba 28 kuwa siku ya mapumziko ili Wananchi waweze kupiga kura
 

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
264
1,000
Kutokana na Maulid ya Mtume Mohammad (SAW) kusomwa Jumapili ya tarehe 18 Oktoba, Jumatatu ya Oktoba 19 imetangazwa kuwa siku ya mapumziko.

Taarifa ya Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee imesema kwamba siku ya tarehe 29 Oktoba ambayo awali ilipangwa kuwa siku ya mapumziko, itakuwa ni siku ya kazi kama kawaida.

photo_2020-10-18_14-08-08.jpg
 

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
564
1,000
Serikali ya mapinduzi Zanzibar inawaarifu wananchi wote kuwa kesho siku ya jumatatu itakuwa ni siku ya mapumziko.kutokana na Maulidi Ya Mtume Muhamad kusomwa leo siku ya Jumapili.
IMG_20201018_141832_581.jpg
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
39,424
2,000
Kwani Maulidi inafanyika zanzibar tu? Kama Zanzibar Mapumziko kwanini bara nayo isiwe mapumziko?
 

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
3,801
2,000
Haka kanchi kadogo lkn hakataki kufanya kazi. Hiyo October 29 awali ilitangazwa kuwa siku ya mapumziko kwasababu gani?

Na kama Maulid ni leo18 kwann kesho pia kanchi hqka kanapumzika?
Maulidi,inakua usiku Kama alivyozaliwa mtume Muhammad s.a.w siku unayoifuata ni mapumziko,na ni sikukuu ya kitaifa,hiyo Haina shaka.
 

loliondokwetu

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
585
500
Haka kanchi kadogo lkn hakataki kufanya kazi. Hiyo October 29 awali ilitangazwa kuwa siku ya mapumziko kwasababu gani?

Na kama Maulid ni leo18 kwann kesho pia kanchi hqka kanapumzika?
Maendeleo hayana chama mkuu, ila ukichagua chama kingine hatukuletei maji.
 

prof kisambuka

Senior Member
Mar 13, 2015
129
250
Msitupangie nyie vichogo sie ni nchi huru hata tukitaka kupumzika mwaka nyie chawakera nini
Nimecheka sana ulivyotuita wa bara vichogo. Hiv kutokua na kisogo kma wazanzibar wengi (hasa wapemba) ni sifa eeeh!!

Halaf unasemaje SMZ ni nchi huku wakati iko ndani ya SMT.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom