Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

Amani Msumari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,830
976
Wadau,

Huu ni uzi wa swali.

Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake.

Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake wengi wa marais waliopita haswa awamu ya tatu na nne. Mama Janet yuko bize kumsaidia mumewe kwenye yale yaliyopangwa kwenye ilani. Hi inatoa fursa ya kutokumuhusisha au kumpaka Rais matope kwa kupitia taasisi ya mkewe.

Watoto wa Rais Magufuli ni Kama hawapo. Ninamfahamu Jesca tuu na huyu nilimfahamu kipindi kill cha ishu ya wanafunzi wa udom.

Kwa uelewa wangu hili halitokei kwa bahati mbaya bali kwa Rais aliyepo madarakani kutotaka kushea uongozi wake na familia yake. Mwalimu Nyerere ni mfano mzuri katika hili.

Amani
 
Jesca mwenyewe yupo morogoro anakula mshahara, na juzi mtoto wa dada alishinda kura za maoni kawe.
Nimeipenda hii zaidi.

Jesca yuko Morogoro kama nani? Umesema vizuri, mtoto wa dada alishinda kura ya maoni, hii inamaanisha ni wanaCCM wa Kawe ndio walimchagua na bado alikatwa
 
Wadau,

Huu ni uzi wa swali.

Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake.

Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake wengi wa marais waliopita haswa awamu ya tatu na nne. Mama Janet yuko bize kumsaidia mumewe kwenye yale yaliyopangwa kwenye ilani. Hi inatoa fursa ya kutokumuhusisha au kumpaka Rais matope kwa kupitia taasisi ya mkewe.

Watoto wa Rais Magufuli ni Kama hawapo. Ninamfahamu Jesca tuu na huyu nilimfahamu kipindi kill cha ishu ya wanafunzi wa udom.

Kwa uelewa wangu hili halitokei kwa bahati mbaya bali kwa Rais aliyepo madarakani kutotaka kushea uongozi wake na familia yake. Mwalimu Nyerere ni mfano mzuri katika hili.

Amani
Naona Maisha yake ktk utendaji wake kuyafuatilia yamekushinda sasa unaamua kuingilia malezi ya familia yake na siku si nyingi utarudi uanze kusema "Hivi Magufuli anavyosema ataongeza mke wa pili Znz baada ya kustaafu kwanini asinichukue Mimi mbara mwenzie Magufuli ni mbaguzi hatufai.
 
Masisiemu yanaposimangana...unadhani unamjenga kumbe ndio unazidi kumbomoa...
BTW naambiwa ulishirikk mauaji ya Mohammed Mtoi....ndio maana post zako nyingi ni kama mtu aliyechanganyikiwa
 
Naona Maisha yake ktk utendaji wake kuyafuatilia yamekushika sasa unaamua kuingilia malezi ya familia yake na siku si nyingi utarudi uanze kusema "Hivi Magufuli anavyosema ataongeza mke wa pili Znz baada ya kustaafu kwanini asinichukue Mimi mbara mwenzie Magufuli ni mbaguzi.
 
Masisiemu yanaposimangana...unadhani unamjenga kumbe ndio unazidi kumbomoa...
BTW naambiwa ulishirikk mauaji ya Mohammed Mtoi....ndio maana post zako nyingi ni kama mtu aliyechanganyikiwa
Bwana Mshana hilo linawezekanaje? Mtoi alikuwa mtu mwema sana na alikufa kwa ajali
 
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani📷📷📷📷, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
 
Naona Maisha yake ktk utendaji wake kuyafuatilia yamekushinda sasa unaamua kuingilia malezi ya familia yake na siku si nyingi utarudi uanze kusema "Hivi Magufuli anavyosema ataongeza mke wa pili Znz baada ya kustaafu kwanini asinichukue Mimi mbara mwenzie Magufuli ni mbaguzi hatufai.
Maisha ya kiongozi yanatumika kuonesha kipimo cha uthabiti wake kiutawala na uzalendo wake. Hatukosei kumuongelea yeye na ndio maana unaona hatukujadili wewe lakini tunamjadili Magu, Lissu, Mbowe na viongozi wengine
 
Masisiemu yanaposimangana...unadhani unamjenga kumbe ndio unazidi kumbomoa...
BTW naambiwa ulishirikk mauaji ya Mohammed Mtoi....ndio maana post zako nyingi ni kama mtu aliyechanganyikiwa
Hatahivyo hizi ni shutuma nzito sn kaka
 
Maisha ya kiongozi yanatumika kuonesha kipimo cha uthabiti wake kiutawala na uzalendo wake. Hatukosei kumuongelea yeye na ndio maana unaona hatukujadili wewe lakini tunamjadili Magu, Lissu, Mbowe na viongozi wengine
Kinachojadiliwa ni katika utawala/uongozi wake hilo la familia au ukoo wake unakuhusu nini? hata wewe hapo kwa shemeji yako unapoishi Mara jirani akaanza kukufuatilia kwanini huendi kupanga kwako utajisikiaje si lazima ulielie majirani wambea sana,hawa viongozi wa kisiasa tuliwapa dhamana tuwape Uhuru na familia zao muhimu wanatekeleza majukumu tuliyowapa Fanya kazi kwa bidii jitengenezee kipato chako itakuepusha na majungu,na kama utaendelea hivyo tabia ya kufuatilia maisha ya watu kuna hatari ya kuja kuwa mchawi mkubwa sana katika umri mdogo na huenda vijana ktk mtaa wako wakuua kwa uchawi wako na kufuatilia maisha ya watu.
 
Nimeipenda hii zaidi.

Jesca yuko Morogoro kama nani? Umesema vizuri, mtoto wa dada alishinda kura ya maoni, hii inamaanisha ni wanaCCM wa Kawe ndio walimchagua na bado alikatwa
Ni wanafunzi wangapi aliohitimu nao Jesca wamepata ajira? Baba wa Taifa aliacha kuijenga Butiama ili isubiri maendeleo ya miji mingine kwanza. Bado unafananisha Real Madread na Abajalo?
 
Ndio maana tunasema Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kuzaliwa Tanzania,

Ameipa heshima Tanzania
Hili la John kuzaliwa Tanzania msitudanganye. Mnajua wazi ana ncgi mama alikozaliwa na kuletwa Tanzania akiwa na zaidi ya miaka 3.
 
Back
Top Bottom