uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tusichague viongozi (wabunge) kwa kigezo cha wao kuja kutatuta matatizo yetu. Tuchague viongozi waaminifu na wenye uzalendo juu ya taifa letu

    TANZANIA TUITAKAYO 1.0 UTANGULIZI Takribani miaka 63 imepita tangu Tanganyika kupata uhuru na miaka 60 ya muungano wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Chaguzi nyingi zimepita pamoja na marekebisho mbalimbali ya katiba yamekwisha fanyika ili kuleta uongozi bora na kuimarisha demokraia nchini. Ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Watumishi wa umma wakiwemo walimu simamieni Haki katika Chaguzi zijazo 2024 na 2025

    Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa motivation wakiwa kazini mf walimu ,kikokotoo Kwa wastaafu, mfumuko wa Bei, nk nk. Kwa kuwa Sheria za...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika

    Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikiliza👇🏻👇🏻👇 Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi: 1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025: Waitara anataka kumkimbia Heche Tarime? Aibana serikali kuhusu kugawa majimbo kwa ajili ya uchaguzi ujao

    Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo. Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga. Mang'ana ghasarikile!! Waitara ni moja kati ya...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Unalichukuliaje suala la Wanasiasa kujitokeza Majimboni kutoa zawadi na kutatua kero za wananchi kwa mwaka huu?

    Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote? Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi? Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
  7. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji? Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 isiwe sababu ya Rais Samia kumtumia Hayati Magufuli kama chambo ili kuwavuta Watanganyika wasiomkubali

    Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge. Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao. Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema? Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona...
  10. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

    igweeeeeee Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu Kwa sasa CCM wako wazi kabisa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

    Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan. "Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea uchaguzi 2025, Mwigulu Nchemba ashiriki hafla ya kugawa mitungi ya gesi

    Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO na WEO. Januari 6,2024 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM ili ishinde uchaguzi 2025

    Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia. 1. Samia azidishe asali kwa wapinzani. 2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru. 3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa. Ni hayo tu.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutoa fomu moja ni dalili ya uoga na kutokukubalika!

    Kwema Wakuu! Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki. Katika lugha za kisaikolojia mtu akisema kuwa, hakuna haja ya kuchapisha fomu nyingi za kuwania Urais au nafasi fulani. Hiyo...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

    Jokate ambaye hivi karibuni akiwa amekaribia kufika miaka 40 amebahatika kupata mtoto bila ndoa rasmi, akiwa na mtoto ambaye haonekani kuwa na baba , na ambaye alikuwa msanii wa Muziki na movie maarufu kama Bongo movies, sasa akaingizwa kwenye siasa na kubebwa nafasi za kuteuliwa Katibu Mkuu wa...
  16. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushinda 2025 inahitaji kura kuu 2 tu

    CCM kushinda 2025 Inahitaji kura kuu 2 TU! a) Kura za wanawake ambapo inatakiwa link kati ya wanawake na CCM, ndo sababu ya Jokate Mwegelo kupewa UWT. Mind you mtu alozaliwa 1990-1994 ni Mama na potential voter wa 2025/2030. Na huyu by any means anamjua Jokate kama rolimodo wake b) Kura za...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je, CCM wameanza kampeni za uchaguzi wa 2025?

    Wanajamvi Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia. Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’. Hii imekaaje?
  19. kevylameck

    JamiiForums Tanzania CCM imtumie Chalamila kufanikiwa kwa Samia

    Na Kevin Lameck Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
  20. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

    Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje. Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
Back
Top Bottom