uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

    Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao. Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha. Kumbukeni bado kuna viongozi wa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Kigoma ni mkoa uliopo magharibi mwa Tanzania, ukipakana na...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

    Kwa lugha ya kisasa kisiasa, unaweza kusema yupo ukingoni jikoni, kikaangoni anakaangwa... Neno langu la muhimu sana kwake ni kwamba, haipo taasisi popote duniani, isiyo na utaratibu wa kufanya mambo yake, iwe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi. Haiwezekani utaratibu wa taasisi unaelekeza mambo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

    Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
  6. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

    Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari kufanyika tarehe 18-19 Juni, 2024. Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi

    Wanahabari tuna jambo letu ===== Wanahabari tuna jambo letu Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari. 🗓️ 18-19 Juni, 2024. Kikao Kazi cha Maafisa Habari wa Serikali. 🗓️ 20-22 Juni, 2024. Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalikwa tukutane...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Club House imeachiliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu? CCM na michezo ya kitoto kuhadaa umma kuelekea uchaguzi 2025!

    Wakuu, Baada ya kuona uzi hapa wa mdau kuuza move ya site za ngono kufunguliwa nikaenda kuangalia kama Club House imeachiliwa pia, maana ilikuwa kundi moja ya sites/apps zilizozuiwa na serikali kuminya uhuru wetu wa kuwasiliana na kupata taarifa. Nilipojaribu kufungua ulikubali, ila nilitoka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi

    KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025. Nimejiuliza maswali mengi nikakosa majibu kwamba Makamba anasema hata kama hatumkubali Rais Samia ni...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

    2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi . CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola . CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
  11. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania tuombe Rais ajae awe na kaliba ya utunzaji wa rasilimali za taifa

    Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa. Huyu 2025 mwaka uwe wa mwisho. La msingi ni kuomba tu Halmashauri Kuu ya CCM (maana tunajua ni lazima...
  12. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbe kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza. Kampeni Miaka 2 kabla?

    Sasa nimeamini kuwa misemo ya wahenga ilikuwa inafanyiwa utafiti kabla ya kuidhinishwa. Kwa nini kwa muda wa miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu 2025 kumekuwa na kampeni kubwa kumtangaza "mama" kuwa ni bora na anafaa kuendelea kupewa miaka mitano? Kwa nini asiachwe afanye kazi yake na wakati...
  13. mwananyaso

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini mwenezi CCM, Makalla na Katibu Mkuu Nchimbi wamepooza sana kuelekea uchaguzi mkuu ujao?

    Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana. Wametatua kero ngapi mpaka sasa, hakuna ushuhuda wa mafanikio ya ziara yao. Tutegemee kubumbwa kwa takwimu za mafanikio...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 2025 wapiga kura ni milioni 33, hofu yatanda juu ya ujio wa wapiga kura chipukizi

    Kwa chanzo nyeti chama kongwe ni kuwa wapiga kura October 2025, yakadiriwa kufika million 33. Hali hii yawatisha wenye chama. Chanzo hicho kimeniambia ujio ya wapiga kura watoto kama alivyosema yeye, haivutii hata kidogo. Kaniambia kuna hofu ya mabadiliko makubwa ya matokeo na wakubwa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi 2025 hatutapata wabunge wengi kama tunavyotarajia. Mbowe kawaingiza mkenge Makamanda wasiotambua

    Eti maridhiano. Acheni utapeli. Mtu anatolewa jela usiku usiku. Anaenda Ikulu na kuna fanyika makubaliano kuwa fanya hivi ili Mapebari wajue kuna demokrasia hapa Tanganyika. Alafu eti tutawapa nafasi za wabunge. Huu mkataba ni kati ya Mbowe na CCM sio kati ya Chadema na wananchi. Makamanda...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna Mawaziri wanatamba kwenye Wizara zao lakini majimboni kwao hali mbaya

    Salaam Wakuu, Kuna baadhi ya Mawaziri wamekuwa wanang'aa sana kwenye vyombo vya habari na kusifika wa kufanya kazi nzuri katika wizara zao lakini majimboni kwao hali ni mbaya sana. Miundombinu mibovu na matatizo ya msingi kwenye maeneo yao hawayafanyii kazi. Hapa najiuliza Uwaziri umekuwa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

    Wadau hamjamboni nyote? Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania. Mama huyu aliye jemedari mahiri amefanya makubwa yenye manufaa Ndiye mwanamke pekee aliyewahi kuongoza Jamhuri...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Daniel Sillo Akabidhi Magunia 10 ya Mahindi kwa Wahanga wa Mafuriko Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Baran Sillo ametoa magunia 10 ya Mahindi ya chakula kwa waathirika wa mafuriko waliopo katika Kijiji cha Manyara. Akizungumza mara baada ya kukabidhi chakula hicho Mei 19, 2024 katika Ziara Maalum ya...
  19. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

    Wakuu swalama? Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele? 1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote. 2. Ya pili ni...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Mkoa kutoa chai na mkate kupunguza wafanyakazi kuzurula muda wa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Visiwani Zanzibar, Ayoub Mohammed Mahamoud, ametangaza uamuzi mpya wa kuwapatia Wafanyakazi wa Ofisi yake chai ya asubuhi ikiwa na kitafunwa cha mikate wenye siagi kuanzia kesho Jumatatu May 6 2024 ili kupunguza Wafanyakazi kuzurura saa za kazi, kuongea na simu mara...
Back
Top Bottom